The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Aug 12, 2025 #1 GT 1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu 2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa. 3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi. 4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao. 5. Kiongozi huonekana hata kabla hajawa Kiongozi. 6. Kiongozi ni mtu mwenye maono. 7. Kiongozi anaona kule ambako wengine hawaoni. Your browser is not able to display this video.
GT 1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu 2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa. 3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi. 4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao. 5. Kiongozi huonekana hata kabla hajawa Kiongozi. 6. Kiongozi ni mtu mwenye maono. 7. Kiongozi anaona kule ambako wengine hawaoni. Your browser is not able to display this video.