Kiongozi Kundi la IS akamatwa Iraq

Kiongozi Kundi la IS akamatwa Iraq

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1579520755891.png

Ni Abu Abdul Bari ambaye alikamatwa nchini Iraq na kubebwa na lori kutokana na kuwa na uzito mkubwa wa kilo 250.

Mosul, Iraq. Kiongozi wa kundi la wapiganaji la Islamic state (IS), Abu Abdul Bari amekamatwa nchini Iraq.

Kiongozi huyo amekamatwa leo Jumatatu Januari 20 na kubebwa na lori kutokana na kuwa na uzito mkubwa baada ya kushindwa kuingia katika gari ya kawaida. Kiongozi huyo ana kilo 250.

Serikali ya Iraq kupitia taarifa yake imedhibitisha kukamatwa kwa kiongozi huyo ambako maofisa wa usalama walisema kuwa kiongozi huyo wa ugaidi alikamatwa na kikosi maalum cha silaha cha kijeshi (SWAT) Kusini Mashariki mwa mji wa Mosul nchini Iraq.

Baada ya kukamatwa kwa kiongozi huyo maarufu kwa jina la Shifa al-Nima ambaye alikuwa mstari wa mbele katika kundi hilo alisafirishwa kwenda gerezani kwa kutumia lori hilo.

Picha za Bari ambaye polisi wa Iraq wanamtambua kama mwandamizi wa kundi la IS zilizoonyesha akiwa amepakizwa kwenye lori akiwa katika ulinzi mkali wa polisi waliokuwa na silaha.

Bari ni mufti wa kundi la IS na mtaalamu wa sheria za dini ambaye aliidhinisha fwata iliyosababisha vifo vya wafuasi ambao walikataa kujiunga na kundi hilo.

Mwaka 2014, kiongozi huyo aliamuru kushambuliwa msikiti ambao ulijengwa kwenye eneo lililoaminika kuwa lilikuwa la makaburi ya mtume Jonah.
 
Huyu alikuwa anajisaidia kwa msaada wa mashine

Jr[emoji769]
 
Hivi kwenye uislam mtu kuwa kiongozi ni lazima awe na sifa ya kivitavita tu, mbona naona kama hii sio dini make haina sifa yoyote ya kuwa dini ila kiuhalisia ni hii ni "Cult" tena "Militant" kabisa.
 
Unayoyasema yanaweza kuwa kweli km waislamu wote duniani wapo hivo lakini km ni kikundi kidogo tu cha wahuni wanaoutumia uislamu km kichaka cha kujifichia basi hoja yako haina mashiko, Iran ni waislamu na nchi yako ni ya kiislamu lakini ni maadui namba moja wa islamic state na wameshapigana sana vita na Islamic state,
 
Hebu tuache utani. Huyu jamaa ndie kiongozi wa ISIS?

Jamaa limekaa kama chura.

Aisee kuna watu wanakula vizuri. Mshikaji inaonekana kwao ni mboga 7.
Huyo kiongozi anaweza hata kubeba silaha?
 
Back
Top Bottom