proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA MAKUNDI HAYO NI YA KIHUNI MBONA NANYI HUWA MNAWATETEA KANA KWAMBA WANATAMBULIKA KTK KUITETEA UISLAM? JE UISLAM UNATETEWA NA WAHUNI???Unayoyasema yanaweza kuwa kweli km waislamu wote duniani wapo hivo lakini km ni kikundi kidogo tu cha wahuni wanaoutumia uislamu km kichaka cha kujifichia basi hoja yako haina mashiko, Iran ni waislamu na nchi yako ni ya kiislamu lakini ni maadui namba moja wa islamic state na wameshapigana sana vita na Islamic state,
Nani anawatetea? Km kuna MTU anawatetea atakuwa muhuni mwenzao Mimi sijawahi kutetea ujinga na Mimi siamini ktk kuua watu ili kueneza imani Fulani ni upuuzi tu,KAMA MAKUNDI HAYO NI YA KIHUNI MBONA NANYI HUWA MNAWATETEA KANA KWAMBA WANATAMBULIKA KTK KUITETEA UISLAM? JE UISLAM UNATETEWA NA WAHUNI???