Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.