Acheni Nongwa jamani.Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi tente changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Mswahili huu mtu wa 'shughuli'....Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi tente changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Faida za muunganoKiongozi ni mtu wa visiwani.....unadhani unaweza kumtoa kwenye taarabu kirahisi
Uko sahihi sana Kiongozi. Sijawahi kuwa na Imani na Mwanamke kwenye issue ya Uongozi hata siku 1.Lini mwanamke akawa seriaz
Mambo mengine tunajikose wenywewe wanaume
Huwezi kuwa na akili timamu ukaweka mke kuwa msimamizi .
Hao waliopita ambao hawakula urojo,si mlikua mnawalalamikia kila siku humu? Ni kiongozi gani ambae hamkulalamika?Hao viumbe wa Visiwani urojo umewaharibu sana. Hawajawahi kuwa serious hao kwenye mambo yao.