Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

Tatizo huyo kiongozi hakuchaguliwa na wananchi Bali alirithishwa urithi na Babu yake.mtu yeyote anyerithi Huwa Hana uchungu na alichokirithi zaidi hukitumia kijingakijinga kama huyu kiongozi wa kijinga tuliyenaye
 
Anaupiga mwingi hakika
 
Ccm wanajua kabisa, wanalazimisha, kubaki, madsrakani, sasa, hawajali, chochote, ni, kutuburuza, tu
 
Akili za ajabu tu...

Sasa RATIBA ya kazi za Rais wa nchi inanihusu nini mimi raia wa nchi hii ?!!

Inihusu nini mimi raia ?!!

Kule misikitini kwetu ule wito wa kuitwa watu KUSWALI (ADHANA) ni kazi ya yule anayewaita watu kwa sauti kubwa(MUADHINI) ila ule wito wa PILI wa waumini kusimama katika SALA (IQAMA) haumuhusu MUADHINI..ni mamlaka ya IMAMU tu...decree yake...

Sasa PRESIDENTIAL DECREE na ratiba za Rais zinamuhusu MUADHINI wa msikiti ?!![emoji1787]

Sasa PRESIDENTIAL DECREE na ratiba za Rais zinamuhusu MPIGA KENGELE kanisani ?!![emoji1787]

Niendelee tu na uvuvi wangu miye

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo huyo kiongozi hakuchaguliwa na wananchi Bali alirithishwa urithi na Babu yake.mtu yeyote anyerithi Huwa Hana uchungu na alichokirithi zaidi hukitumia kijingakijinga kama huyu kiongozi wa kijinga tuliyenaye
Mjinga ni Sappire....

Acha uzebe...mh.Rais amechaguliwa na wananchi...tumemchagua sisi wananchi.....yuko pale baada ya sisi wananchi kumchagua....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Akimaliza hapo anakwea zake pipa anaamsha.
 
Akili za ajabu kweli [emoji1787][emoji1787]

Alipokwenda huko Kizimkazi kwani urais wake aliuacha jijini DODOMA ?!!

Rais ni TAASISI....halali huyo...yuko macho 24 hrs....wewe utakwenda kulala yeye toka achaguliwe hajawahi kulala hata dakika 1....

Mh.Rais SSH anafanya kazi ngumu sana kwani mimi urais siutaki....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni mwendo wa misele na party tu.

Ukikipata kitumie.
 
Huko Chattle alkuwa anafanya Sherehe gani!? Yule hata angekuwa anaenda mwaka Chattle bado alkuwa anaijua hii nchi vzr na alkuwa anazjua kero hkohko Chattle na anaztatua huyu yeye wala hajui ktu mpumbavu mkuu huyo
Upumbavu ilikuwa kuzaliwa wewe na upumbavu "ukaurithi" katika JENI zako na ukaendelee kukuzunguka katika "NURTURE" yako....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Acha wivu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Lakini,kule napo ikulu ipo na kazi zinatendeka.Kazi na dawa mkuu.Manta hofu.
 
Uko sahihi sana Kiongozi. Sijawahi kuwa na Imani na Mwanamke kwenye issue ya Uongozi hata siku 1.

Wanawake wenzake tu (wanaojuana vyema) hawamkubali.
Hujiamini ..

Una matatizo yako ya KISAIKOLOJIA...

"Inferiority complexes"...

Dada yangu pole una chuki na wanawake(misogynistic) na unajichukia mwenyewe.....

Changamka alaaa changamka wee wanawake MNAWEZA ,we vipiii?!![emoji1787]

#Nchi Kwanza[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…