Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Asalaam alykhum.
Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa.

Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu.

Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio pembeni na nyuma hawana mbavu!.


Your browser is not able to display this video.
 
Siku mkizungumzia dini za Upendo, Buddhism, Paganism, Rastafarians na Hinduism utanistua maana sipati majibu sahihi kwanini Uislamu na Ukristo unapigiwa sana promo mitandaoni badala ya kujipiga promo zenyewe huko mitaani ?! [emoji848]
 
Alitakiwa ajifunze kabla maana sio wote watatafsiri vizuri.Hapo Ndio tofauti na viongozi wengine.Mfano Fm Pres Uhuru Kenyata.Kwa kuheshimu tu Adhana akijipatia sifa kuwa ni muheshimu Dini na Imani za watu wengine.
 
Tafuta jambo jingine, tukitaka sinema tutaenda vibanda umiza, sinema ni igizo unataka tujadili nini!
 
Hata lugha ndiyo hivyo haieleweki. Bora wakristu waliondokana na kilatini na unakuta Yesu Kristo akihubiriwa kwa lugha yeyote hata majini wanatii.
Nyie ila lugha mnayoongeaga mkitaka sadaka huwa mnaelewa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…