Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

Hata lugha ndiyo hivyo haieleweki. Bora wakristu waliondokana na kilatini na unakuta Yesu Kristo akihubiriwa kwa lugha yeyote hata majini wanatii.
Na ndipo walipochakachua Dini, hivi ungejisikiaje raha kuongea Lugha, aliyokuwa anaongea Yesu
 
Kufuatia tukio hilo, nimeongea na rafiki yangu leo mchana akanidokeza kuwa, pamoja na viongozi wa kisiasa kuwa nguzo ya nchi haoni tija kufanya kama kilichoonekana hapo juu!.
Mwanasiasa mwanasiasa mwanasiasa! Yuko tayari kufanya lolote ili a-win minds za watu.
 
Siku mkizungumzia dini za Upendo, Buddhism, Paganism, Rastafarians na Hinduism utanistua maana sipati majibu sahihi kwanini Uislamu na Ukristo unapigiwa sana promo mitandaoni badala ya kujipiga promo zenyewe huko mitaani ?! [emoji848]
Nani kaupigia pulomo?uisilamu unajitangaza wenyewe bhana
 
Haina tatizo katika swala unaweza kukosea kama hujui hii sio kosa kwani hujui pia kama atakuwa muumini kadri anavyoenda ndo atajua .
Kucheka ni dhihaka na haipendezi.
 
Siku mkizungumzia dini za Upendo, Buddhism, Paganism, Rastafarians na Hinduism utanistua maana sipati majibu sahihi kwanini Uislamu na Ukristo unapigiwa sana promo mitandaoni badala ya kujipiga promo zenyewe huko mitaani ?! [emoji848]
Namm nitaanza kuweka za Rastafarian hasa kipengele cha kula jani la amani
 
Hao masheikh wa kenya hawa tofaoti na masheikh wa bakwata
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo? Kiongozi tuanzie hapo
 
Siku mkizungumzia dini za Upendo, Buddhism, Paganism, Rastafarians na Hinduism utanistua ... ?! [emoji848]
Comrade kama unauelewa wa hizo imani naomba unipee info's zake nijifunze, ukiweza anzisha uzi itakuwa poa usikose kunitag!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ