Kiongozi Mkuu M23 Goma Jeneral Cornellie Nangaa aalika mataifa mbalimbali kufungua ofisi zao za ubalozi

Duh africa sahv vidume vimeamua kwenda front, west african wana deal na mfaransa, majirani zetu ndo hao kina cornell, jirani mwingine museven na byesige... kenya gen z haishikiki inataka katiba mpya na ajira

Sisi sasaaa
 
Ishieni huko huko mashariki mwa congo msijaribu kumega nchi kutanua himaya yenu. Hamtavumiliwa endapo mtashikwa na tamaa kutaka maeneo ya nchi zingine
 
Ipo siku na Mimi nitahakikisha wazaramo tunarudisha ardhi yetu ya Dar es salaam na kuifanya nchi ya kujitegema maana wamekuja wageni na Sasa wametufukuza wenye mji .
Nyie mliuza ardhi wenyewe bila shuruti halafu hela badala ya kusomesha watoto na kujenga makazi mapya mlienda kufanya sherehe za kuwatoa watoto mwali na kucheza vigodoro, so hoja zenu hazina mashiko na ni useless
 
Bandari na uwanja wa ndege mumejenga wazaramo? Magorofa yote ya Dar nionyeshe hata moja ambalo ni la Mzaramo.Moja tu sitaki mengi.
Ng'oeni mago4ofa yenu na kila mlichojenga muondoke navyo
 
Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakekaidi atahesabika ni muasi ahera Ina muhusu.
Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi kwa kuwahamisha wakazi wa Gaza kabla ya kushusha moto ambao magaidi wa Hamasi wakaomba poo.
Kwann tucheke na wahuni wachache Wanasababisha nchi za maziwa kukosa amani.
 
Mkuu,h
Kiuhalisia ukienda Goma , kwa mu kivu yote mule, kaskazini kwa mukusini, wapo kila mgeni. America, Uropa, Asiya, Arabique banyamulenge, m dede f dede hat mu JWTZ yani International community ipo .

Labda aseme Formally tyu.🤞
Awa banyamulenge ni akina nani?
 
Kutoka mji mapaka sasa nchi? inaonekana wameshindwa kuchukua Kinshasa yote wakaona watangaze walipofanikiwa kuwa ni nchi kamili, nafkiri hii ni ukakasi
Wakaulize Biafra.
 
Sasa kwa nini anatumia bendera ya DRC?
 
aisee
 
Anajitangazia nchi huru huku nyuma yake kukiwa na flag ya bhantu bha kongoo!
 
Twende fasta kufungua ubalozi mdogo Goma kwa ajili ya mradi wetu wa Reli Mpya SGR

Engineer aelezea kitaalamu uzito wa kukamilisha mradi na pia kuhusu muda wa kukamilika kwa mtandao wa reli ya SGR (network) nchi nzima hadi mpakani na Rwanda Burundi, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika


Hii ni fursa ya muda mrefu endelevu kusapoti jimbo la Kivu ya Kaskazini Goma na Kivu ya Kusini Bukavu ili SGR Reli Mpya ipate mzigo wa uhakika.

TOKA MAKTABA:
MAONO YA YOWERI MUSEVENI


View: https://m.youtube.com/watch?v=VGF3ex2bf9Y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…