Kiongozi Mkuu M23 Goma Jeneral Cornellie Nangaa aalika mataifa mbalimbali kufungua ofisi zao za ubalozi

Ipo siku na Mimi nitahakikisha wazaramo tunarudisha ardhi yetu ya Dar es salaam na kuifanya nchi ya kujitegema maana wamekuja wageni na Sasa wametufukuza wenye mji .
Mmefukuzwa kwa pesa.

Ukiuza kitu, hauwezi rudi kinyume nyume na kuanza kudai kitu hicho hicho, huo ni utapeli ama kwa lugha nyingine ni wizi wa kuaminiwa.

Mfano mzuri wa mambo kama hayo ni Israel.

Abrahamu alitokea alikotoka, kaja na ukwasi wake kununua kipande cha nchi ya Kanaani.

Sasa Wafilisti mpaka leo wanadai nchi hiyo ni yao, wakati huo kiuhalisia Wayahudi ni pao, babu yao alipanunua kihalali na nyaraka wanazo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea

Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The head of M23 Rebels in Goma City, General Cornellie Nangaa, is inviting other nations to open their embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.

While addressing the media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to the war between them and FARDC to come back home now that they've restored order in the city.

In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.

View attachment 3223378
Nashauri Tanzania wafungue ubalozi huko faster tuwahi fursa za kibiashara na hiyo nchi mpya yenye madini ya kutosha kabla nchi nyingine hazijashtukia deal
 
Hii ni hatari maana mikoa mingine itaanza chochoko za kujitenga, na hata mataifa majirani yenye sifa za kutelekeza baadhi ya mikoa pia huko kutaanza kurindima.
Mikoa ya kaskazini Kenya, kaskazini Uganda...kwa Tanzania sijui sana ila huwa naona Wana Kigoma wakilalamika, pia Wazanzibari
 
Kutoka mji mapaka sasa nchi? inaonekana wameshindwa kuchukua Kinshasa yote wakaona watangaze walipofanikiwa kuwa ni nchi kamili, nafkiri hii ni ukakasi
Sio ukakasi mkuu. Wanakomboa taratibu nchi yao iliyovamiwa na waasi kutoka Tanzania na mataifa mengine ya SADC. Soon watakomboa nchi nzima. Stay tuned!
 
Hata Idd alipandisha bendera kule Kagera wilaya moja ikawa ya Uganda.Time will tell.
Hao waasi kutoka Tanzania na nchi nyingine za SADC watanyolewa kama mbwa. Wameenda kufuata nini kwenye nchi ya watu?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea

Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The head of M23 Rebels in Goma City, General Cornellie Nangaa, is inviting other nations to open their embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.

While addressing the media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to the war between them and FARDC to come back home now that they've restored order in the city.

In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.

View attachment 3223378
Hii vita ya madini itaosha vibaya sanna, eti anajimilikisha hayo madini kirahisi tu..😂😂😍
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea

Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The head of M23 Rebels in Goma City, General Cornellie Nangaa, is inviting other nations to open their embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.

While addressing the media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to the war between them and FARDC to come back home now that they've restored order in the city.

In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.

View attachment 3223378
Labda Rwanda ndio wafungue ofisi kwa wahuni wake.
 
Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakekaidi atahesabika ni muasi ahera Ina muhusu.
Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi kwa kuwahamisha wakazi wa Gaza kabla ya kushusha moto ambao magaidi wa Hamasi wakaomba poo.
Kwann tucheke na wahuni wachache Wanasababisha nchi za maziwa kukosa amani.
Una ukichaa fulani hivi. Israel imefeli operation ya miezi 15 ya kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka ndio maana wameomba Qatar awaombee msamaha kwa Hamas ili wawaachie mateka.

IDF ni jeshi la mashoga hawawezi kufanikiwa hata ukiwapa kazi ya kuwaondoa panya road hapo Daslam.
 
Sarafu ya Goma mzee. Kwani kila nchi si inatumia pesa yake? Meanwhile, watakuwa wanatumia dola ya Marekani au paundi ya Uingereza
Kwa mzingira hayo, inatulazimu tuitambue Goma kama nchi? Tujiulize, kama sio maslai binafsi kwa nini aitambue Goma kama nchi inayojitegemea?
 
Ndio mkuu. Goma inapaswa kutambuliwa kama nchi kama ilivyo Somaliland, Hong Kong, Taiwan na South Sudan. Kama Nyerere aliitambua Polisalio Sa100 ni nani asiitambue Goma Republic?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea

Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The head of M23 Rebels in Goma City, General Cornellie Nangaa, is inviting other nations to open their embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.

While addressing the media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to the war between them and FARDC to come back home now that they've restored order in the city.

In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.

View attachment 3223378
Inawezekana njia mojawapo ya kumaliza migogoro mashariki ya DRC ni uanzisha nchi ndogo ndogo hata mbili upande huo ili kudhibiti usalama kwa sababu kila nchi itakuwa inajilinda ikizingatiwa. Nchi ya DRC ni kubwa inaonekana serikali imeshindwa kuwahudumia wananchi nchi nzima ikiwemo usalama.
 
Una ukichaa fulani hivi. Israel imefeli operation ya miezi 15 ya kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka ndio maana wameomba Qatar awaombee msamaha kwa Hamas ili wawaachie mateka.

IDF ni jeshi la mashoga hawawezi kufanikiwa hata ukiwapa kazi ya kuwaondoa panya road hapo Daslam.
Wapalestina elfu 47 wamekufa miji yao yote imegeuzwa vifusi
Wanarudi wanalala kwenye mitaro na magofu hakuna maji wala umeme
 
Ipo siku na Mimi nitahakikisha wazaramo tunarudisha ardhi yetu ya Dar es salaam na kuifanya nchi ya kujitegema maana wamekuja wageni na Sasa wametufukuza wenye mji .
Sema wengine sio wazaramo, nyie mji mmeukimbia wenyewe, mzaramo anauza eneo lote anarudi nyuma akikaribiwa anauza tena anaondoka, lalamikia wasio wajua. Nipo Dodoma, mgogo anauza eneo lake vipande, kipande kingine anabakiza cha kwake, ile hela.ya mauzo anajenga eneo lake nyumba nzuri sio tembe tena hivyo mtabanana hapo hapo na aliyekuuzia (mgogo)
 
Wapalestina elfu 47 wamekufa miji yao yote imegeuzwa vifusi
Wanarudi wanalala kwenye mitaro na magofu hakuna maji wala umeme
Hiyo ndio failure ya Israel sasa. Badala ya kuwamaliza Hamas na kukomboa mateka wameishia kutumia dollar billion 69+ kuua wanawake na watoto na kuharibu miundo mbinu.
 
Back
Top Bottom