Kiongozi Mkuu M23 Goma Jeneral Cornellie Nangaa aalika mataifa mbalimbali kufungua ofisi zao za ubalozi

Kiongozi Mkuu M23 Goma Jeneral Cornellie Nangaa aalika mataifa mbalimbali kufungua ofisi zao za ubalozi

Iwe nchi huru tu na vita viishe
Mkuu; Sidhani kama itakuwa hivyo. Mwalimu enzi zake 1995 aliwahi kusema ......ukianza kula nyama ya mtu hutokaa uache (siikumbuki vizuri hotuba hiyo ya 1995). Hao jamaa M23 wanajua pia kwamba Ujiji wajerumani waliita Udjidji ndo yalikuwa makao makuu ya eneo kubwa la Mashariki ya Congo. Je; wanaiachaje kwa mfano.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea

Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The head of M23 Rebels in Goma City, General Cornellie Nangaa, is inviting other nations to open their embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.

While addressing the media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to the war between them and FARDC to come back home now that they've restored order in the city.

In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.

View attachment 3223378
Huyu mwehu anaiga ule ujinga wa Tshombe..
 
Niliandika komenti hii nikiwa nataka niwajue wavamizi wa mji waliotufukuza mjini na wewe ni mmoja wao .
Sitaki mabishano na watu mnaoshindwa kutuheshimu wazawa ,welcome to my ignore list

Samahani Hayo maneno ya kingereza hapo chini naonaga wanaandika watu wakikasirikiana Sasa na Mimi nimekuandikia sitaki kujua inamaanisha nini
😆😆😂🤣🤣🤣
 
Kama tulivyosema safari hii hao M23 hawaiiachi Goma tena, sasa wanakuwa na ule uwezo wa kujadiliana huku wameshika eneo muhimu la Kongo, na hata ikibidi wanaendelea kusogea mpaka Bukavu yote inakuwa yao.
Watch this space......
 
Sio ukakasi mkuu. Wanakomboa taratibu nchi yao iliyovamiwa na waasi kutoka Tanzania na mataifa mengine ya SADC. Soon watakomboa nchi nzima. Stay tuned!
Tanzania na SADC hawakomboi nchi mkuu wao mkataba wao ni kulinda amani tu, hakuna ata nchi moja watakayoikomboa.,

SADC hawana jeshi la kwenda vitani hivyo unavyokusudia ni kama ilivyo UN wataishia kulinda amani na kuuliwa mmoja mmoja tu elewa hivyo.
 
Hii ni hatari maana mikoa mingine itaanza chochoko za kujitenga, na hata mataifa majirani yenye sifa za kutelekeza baadhi ya mikoa pia huko kutaanza kurindima.
Mikoa ya kaskazini Kenya, kaskazini Uganda...kwa Tanzania sijui sana ila huwa naona Wana Kigoma wakilalamika, pia Wazanzibari

Kigoma wanalalamikia kwenye roho yako mbaya hiyo au? Peleka roho yako mbaya kwa wakabila wenzako Kenya
 
The head of M23 Rebels in Goma City General Cornellie Nangaa is inviting other nations to open their Embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.

While addressing Media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to war between them and FARDC should come back home now that they've restored order in the city.

In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be got exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.

😫😫😫😫
 
Back
Top Bottom