Mkuu; Sidhani kama itakuwa hivyo. Mwalimu enzi zake 1995 aliwahi kusema ......ukianza kula nyama ya mtu hutokaa uache (siikumbuki vizuri hotuba hiyo ya 1995). Hao jamaa M23 wanajua pia kwamba Ujiji wajerumani waliita Udjidji ndo yalikuwa makao makuu ya eneo kubwa la Mashariki ya Congo. Je; wanaiachaje kwa mfano.Iwe nchi huru tu na vita viishe
Huyu mwehu anaiga ule ujinga wa Tshombe..Wadau hamjamboni nyote?
Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea
Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
The head of M23 Rebels in Goma City, General Cornellie Nangaa, is inviting other nations to open their embassies in Goma city. Mr. Nangaa added that Goma is now a country on its own with its leadership structure and that its citizens are now living in peace.
While addressing the media today early in the morning, the head of rebels urged all citizens who flew away due to the war between them and FARDC to come back home now that they've restored order in the city.
In his final remarks, the general has warned any foreigner who will be exploiting their natural resources will just be prosecuted instantly without mercy or purdon.
View attachment 3223378
Rwanda inamlindaHii vita ya madini itaosha vibaya sanna, eti anajimilikisha hayo madini kirahisi tu..πππ
ππππ€£π€£π€£Niliandika komenti hii nikiwa nataka niwajue wavamizi wa mji waliotufukuza mjini na wewe ni mmoja wao .
Sitaki mabishano na watu mnaoshindwa kutuheshimu wazawa ,welcome to my ignore list
Samahani Hayo maneno ya kingereza hapo chini naonaga wanaandika watu wakikasirikiana Sasa na Mimi nimekuandikia sitaki kujua inamaanisha nini
Tanzania na SADC hawakomboi nchi mkuu wao mkataba wao ni kulinda amani tu, hakuna ata nchi moja watakayoikomboa.,Sio ukakasi mkuu. Wanakomboa taratibu nchi yao iliyovamiwa na waasi kutoka Tanzania na mataifa mengine ya SADC. Soon watakomboa nchi nzima. Stay tuned!
Hii ni hatari maana mikoa mingine itaanza chochoko za kujitenga, na hata mataifa majirani yenye sifa za kutelekeza baadhi ya mikoa pia huko kutaanza kurindima.
Mikoa ya kaskazini Kenya, kaskazini Uganda...kwa Tanzania sijui sana ila huwa naona Wana Kigoma wakilalamika, pia Wazanzibari