SI KWELI Kiongozi mkuu mpya Alireza Arafi wa Iran ameuawa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hee huyu dogo mpya ndio wamemnywa?
 
Nimesikitika sana. Iran kuna haja ya kuangalia namna ya kulinda viongozi wake. Inaumiza sana wanauliwa tu kama mende na Mabeberu



View: https://www.instagram.com/reel/DawWVIgR3Ej/?igsh=cDd2YzVoOXJzbnl4
Chizi...
Nimesoma masikitiko yako ya kuuliwa Wairani na Wamarekani.

Nimefurahi kuwa umetumia neno "mende."

Unasema ipo haja ya Iran kulinda viongozi wake.

Ungeijua Uislamu na hukumu yake wala usingetoa masikitiko hayo.

Katika kosa kubwa la Muislamu ni kukimbia vita.

Wairani wote wako vitani na wanajua kuwa vita ni kifo na kujificha usitoke vitani ni kosa kubwa awe kiongozi au Muislamu wa kawaida.

Kila Muislamu wa kweli anatakiwq kuweka ahadi kuwa ikitokea vita yeye atasimama kupambana na adui.

Na hakuna kikubwa kwa Muislamu kama kufa katika njia ya Allah.
 

Kuna ngonjera umeandika hizo sisi huwa tunaita maneno ya kishujaa.. zilongwa mbali zitendwa mbali. Kama hawaogopi kufa wasingekuwa wanakaa kwenye mashimo na hayatollah ameshindwa mzika baba yake sababu ya usalama. Anaogopa kufa. Kuna maneno yawe tunaambiana kishujaa... Kifo hakuna anayekitaka ndo maana unaona wanajificha mapangoni na hayatollah aliua sunni wengi sana kuliko hata mayahudi walivyoua. Aliuawa akiwa amejificha shimoni. Kisha anakuja kudanganya umma haogopi kifo.
 
Gaidi Osama bin Laden hadi kuja kuuawa alitafutwa sana baada ya kujificha kwa zaidi ya mwongo moja, hata dikteta Saddam Hussein alikutwa akiwa amejificha shimoni kwa mjomba wake au labda wakati wanatafutwa wanakuwa wameuacha uislamu, labda utuambie hivyo.
 

Huwa wanaongea maneno ambayo wanadhani wanaambiana wenyewe tu. Osama amekimbia kimbia na kujificha miaka mingi akitoa mhanga watoto wa wenzie. Wa kwake anajificha nao.
 
Wajina syo kwa ubaya wala kukupnga ila kujaribu kuona hakuna kiumbe asiye ogopa kifo wachangiaji watakuletea mifano ya manabii walio kimbia vitan hata MUHMAD sw jesh lake liliwah kuzidiwa akakimbia kujipanga upya sadam alikutwa pangon. Osama alijificha abutabad kule pakstan kwanin hakufia Kwenye milima ya torabora kule irag, tunapoitetea iman tushirikishe pia akili tulizopewa na Alha
 
Huwa wanaongea maneno ambayo wanadhani wanaambiana wenyewe tu. Osama amekimbia kimbia na kujificha miaka mingi akitoa mhanga watoto wa wenzie. Wa kwake anajificha nao.
Huyu mzee mudy anaweka ya dini mbele kuliko uhalisia.ndo yale wenzetu palestina wanasambazwa kwa upuuzi wa hamas.wao wakija kwenye mimbar wanasema wanapgwa kwajili ni waislam. Badala tuombe vta iishe wao wanategemea miujiza itatokea waislam waitawale israel.mabarathul hamas waliuwa makafiri waisrael 1200 ila makafir israel wameshaua palestina 76000+ sasa tunaenda mbele tunarud nyuma waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…