SI KWELI Kiongozi mkuu mpya Alireza Arafi wa Iran ameuawa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hivi unajua huyo gaidi Osama ni zao la USA? So unaposema alitafutwa je alitafutwa na nani ilihali USA ndio walioanzisha na kufadhili Al Qaeda? Hata nikikuuliza mwili wake uko wapi ni mystery tu.
 
Mojtaba mbona kajificha?
 
Vita kwasasa ni kati ya Yemen na Saudi Arabia,
Usisherehekee Israel kuishambulia Iran madhara yanakuwa mabaya kwa Israel kuliko Iran.
 
Hii vita ina husiana vipi na masuala ya uislam ?
 
Huyu jamaa hajauwawa ni uongo huu...MIJITABA AMECHUKUA Maficho chini ya handaki hatoki
 
Umenena vema. Huyu Mojtaba yeye kazi kujificha tu.
 
Duh vp mtoto wa marehemu kiongozi mkui wa iran amejificha au sio muislam wa kweli?? Hata kwenye msiba wa baba yake hakuwepo
 
Awali Rais huyo kwenye vita vya siku 12 alijeruhiwa miguu na akaponea chupu chupu kuuwawa nasikia safari hii wana wa Israel hawakuweza kufanya kosa wamepita naye!!
Haaahaaa dah we jamaa mshipa wa aibu ulishakatika. Vipi mazishi ya pezeshkian lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…