Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Mtu asiyethamini Maisha ni mjinga.
Yaani una hakika hata ya dakika 1 mbele wewe, Trump anamshikuru Mungu kwani ni yeye alimwokoa, kwa maneno yake mwenyewe

Binadamu hatukuumbwa kuja kuishi duniani hapa tuna sababu ya kuletwa Nayo ni kumwabudu Mwenyezi Mungu tu basi , na ibada ni kufuata maamrisho yake
 
Huyo Mhindi mbona kila assassination anatajwa? Helicopta ya Raisi inasemekana alionekana kuigusa kabla haijaruka... Iran waache uzembe wa kuisingizia India
 
Kiboko yao alikuwa Arafat tu, yule ndio mwamba.
Yasser Arafat alikuwa peace sana. Yeye pamoja na Izhak Rabin wangemaliza uhasama. Walikuwa wanaelekea kupata amani
Wapo mpaka kwenye jeshi lao, mpaka kwenye viwanda vyao vya silaha mpaka kwenye kilemba cha babu Tolah wamo
Kwani wayahudi kwa muonekano wanafanana na Wairan (Waajemi)?
 
Unaweza kuta wapalestina wenyewe ndio wamemuua
Nakumbuka Yizhak Rabin aliuawa na muisrael
 
alikuwa mtu hatari sana ndomaana kuuwawa kwake ni mafanikio makubwa sana IDF kuwahi kuyapata ktk historia ya jeshi lao..NDO MAANA IMEKUWA TAARIFA KUBWA SANA DUNIANI i wish wamba wengine wa kuendeleza kurudumu la kukomesha ushoga duniani watasimama imara,MUNGU IBARIKI HAMAS
 
Au yawezekana walitumia stealth drone!
 
Hamas ni kikundi cha kigaidi hakiwezi kubarikiwa. Labda ibarikiwe na shetani
 
Kuna shehe hapa mtaan amelia mnoo nmemuambia badoo picha linakuja netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…