njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Mimi siogopi mtu namwohopa Mungu tu. yahudi anatetemeshwa na kikundi cha vijana hata elfu tano hawafiki , anaomba msaada kwa Marekani na mataifa ya magharibi kabakia kuuwa vizee kwa woga . Ndivyo makafiri mlivyo yaani mko waoga kinoma.Usiogope kama wewe siyo gaidi wala hawana muda na wewe. Ila ukijichanganya tu, huko huko buza hawakuachi.
Kwani huyo ni Yesu ?Mungu Alisha onya kwenye Torati.
Kutoka (Exo) 20:7
"Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure"
Ukiona anatajwa tajwa sana naye anafurahi ujue huyo sie yeye.
Haniyeh mlimdanganya hivi hivi matokeo yake kaenda fut6 chini huku nyie mkibaki mkijifariji.Lebanon hakuna wayahudi kama Iran.
Huwezi ukamshambulia Nasrallah kizembe,na wala havai nikab wala baibui tuondolee uongo.
Iran sio salama tena kwa maadui wa Israel kuwepo.Kama kuna mahali viongozi wa Wapalestina walitakiwa wajisikie salama ni Iran hasa baada ya mnyukano wake na Israeli. Kwamba, inawezekana precision guided missile imepiga jengo la jeshi katikati ya makao makuu ya nchi, siku ya kuapishwa Rais mpya siyo tu kipimo cha ujasiri bali pia ubabe. Sijui Iran watajibuje.
Ungalianza na huyo unayemwabudu Kama mungu wako alifanywa nini?
Mwenzako yuko bize kutafuna bikra leo yuko na kazi ya kutafuna bikra 1 bado 71Mbona hujamweka yule aliyepiga makelele akamkumbuka Mungu wake?
Zawadi yako hii
Hawa ndio wanaume wasopiga kelele viririni Elloi Elloi Lammasabbakhtani
View: https://youtube.com/shorts/CZm_uiOep7E?si=s-MoFiT3E9kj3uZO
Kula kitu hichoKwenye intelijensia iran wanatakiwa wajitathmini
Hii ni failure kubwa na haijaanza leo nahaitaisha leo
Wewe ndio unafurahi kuwa Wendel ukachomwe kwa kumwabudu mtu aliyekuwa akila akinya na kutawazishwa mavi ?Mwenzako yuko bize kutafuna bikra leo yuko na kazi ya kutafuna bikra 1 bado 71
Naona unaropoka.Haniyeh mlimdanganya hivi hivi matokeo yake kaenda fut6 chini huku nyie mkibaki mkijifariji.
Rehema za Mungu hazizuiliki hata jambazi anahaki mbele yake hivyo ni yeye aamue kama hilo ni tatizo kwa waumini wake. N.B kifo mbele ya Allah sio mtihani kwani ashakadiria time hivyo hio sio sababu ya kukubali kisomo. Lakini hapo nazungumzia kisomo halali hio albadir mimi sioni wala siamini kama ni kisomo cha haki kisheria waje wasomi watufafanulieWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Mada yawahusu wenye ilimu pekee tusio na ilimu tukae tupate maarifa.
Hoja ni swali kuwa kisomo cha albadiri dhidi ya mayahudi waliomuasi Mungu kinawezekana? Kitaleta matokeo fyaliyokusudiwa? Kwanini hakisomwi? Shida Iko wapi?
Niwatakie asubuhi njema
Uchawi hauvuki bodaWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Mada yawahusu wenye ilimu pekee tusio na ilimu tukae tupate maarifa.
Hoja ni swali kuwa kisomo cha albadiri dhidi ya mayahudi waliomuasi Mungu kinawezekana? Kitaleta matokeo fyaliyokusudiwa? Kwanini hakisomwi? Shida Iko wapi?
Niwatakie asubuhi njema