Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kuna kitu kimenifikirisha sana, ukiangalia BBC muda huu maombolezo yanaendelea wanatia huruma lakini unaweza kuta miongoni mwao pale pale akiingia chooni anatuma taarifa Israel" kuna mwenye kilemba cha blue kasema hatakubali" kesho yake mwenye kilemba cha blue anashushiwa "ngedere na bundi " anazimika
 
Usiogope kama wewe siyo gaidi wala hawana muda na wewe. Ila ukijichanganya tu, huko huko buza hawakuachi.
Mimi siogopi mtu namwohopa Mungu tu. yahudi anatetemeshwa na kikundi cha vijana hata elfu tano hawafiki , anaomba msaada kwa Marekani na mataifa ya magharibi kabakia kuuwa vizee kwa woga . Ndivyo makafiri mlivyo yaani mko waoga kinoma.
 
Mungu Alisha onya kwenye Torati.
Kutoka (Exo) 20:7
"Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure"
Ukiona anatajwa tajwa sana naye anafurahi ujue huyo sie yeye.
Kwani huyo ni Yesu ?
 
Lebanon hakuna wayahudi kama Iran.
Huwezi ukamshambulia Nasrallah kizembe,na wala havai nikab wala baibui tuondolee uongo.
Haniyeh mlimdanganya hivi hivi matokeo yake kaenda fut6 chini huku nyie mkibaki mkijifariji.
 
Kama kuna mahali viongozi wa Wapalestina walitakiwa wajisikie salama ni Iran hasa baada ya mnyukano wake na Israeli. Kwamba, inawezekana precision guided missile imepiga jengo la jeshi katikati ya makao makuu ya nchi, siku ya kuapishwa Rais mpya siyo tu kipimo cha ujasiri bali pia ubabe. Sijui Iran watajibuje.
Iran sio salama tena kwa maadui wa Israel kuwepo.
 
Attachments

  • Screenshot_20240801-105022.png
    Screenshot_20240801-105022.png
    201.1 KB · Views: 1
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Mada yawahusu wenye ilimu pekee tusio na ilimu tukae tupate maarifa.

Hoja ni swali kuwa kisomo cha albadiri dhidi ya mayahudi waliomuasi Mungu kinawezekana? Kitaleta matokeo fyaliyokusudiwa? Kwanini hakisomwi? Shida Iko wapi?

Niwatakie asubuhi njema
 
Mwenzako yuko bize kutafuna bikra leo yuko na kazi ya kutafuna bikra 1 bado 71
Wewe ndio unafurahi kuwa Wendel ukachomwe kwa kumwabudu mtu aliyekuwa akila akinya na kutawazishwa mavi ?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Mada yawahusu wenye ilimu pekee tusio na ilimu tukae tupate maarifa.

Hoja ni swali kuwa kisomo cha albadiri dhidi ya mayahudi waliomuasi Mungu kinawezekana? Kitaleta matokeo fyaliyokusudiwa? Kwanini hakisomwi? Shida Iko wapi?

Niwatakie asubuhi njema
Rehema za Mungu hazizuiliki hata jambazi anahaki mbele yake hivyo ni yeye aamue kama hilo ni tatizo kwa waumini wake. N.B kifo mbele ya Allah sio mtihani kwani ashakadiria time hivyo hio sio sababu ya kukubali kisomo. Lakini hapo nazungumzia kisomo halali hio albadir mimi sioni wala siamini kama ni kisomo cha haki kisheria waje wasomi watufafanulie
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Mada yawahusu wenye ilimu pekee tusio na ilimu tukae tupate maarifa.

Hoja ni swali kuwa kisomo cha albadiri dhidi ya mayahudi waliomuasi Mungu kinawezekana? Kitaleta matokeo fyaliyokusudiwa? Kwanini hakisomwi? Shida Iko wapi?

Niwatakie asubuhi njema
Uchawi hauvuki boda
 
Tuacheni ushabiki jamani,naona hizi mambo wakristu wenzangu mnasapoti sana upande wa Israel na Waislam pia upande wa Iran,Palestine n.k
Tufanye mambo ya Msingi,hivi vita havina msaada wala faida yoyote kwetu.
 
Back
Top Bottom