gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kuna wapuuzi wengi sana wanamiliki simu za mkononi na elfu mbili za bando.Ni kuandika ujinga tu.Yaan mada ndogo tu yaweza kukushusha thamani...Kuna muda so lazima tufungue thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wapuuzi wengi sana wanamiliki simu za mkononi na elfu mbili za bando.Ni kuandika ujinga tu.Yaan mada ndogo tu yaweza kukushusha thamani...Kuna muda so lazima tufungue thread
Madrasa 😀😀😀Ila Waislamu bhana 😂
Mkuu si uachane tu na uzi huu na ufanye yako? Kwa nini umekuja huku?Tuacheni ushabiki jamani,naona hizi mambo wakristu wenzangu mnasapoti sana upande wa Israel na Waislam pia upande wa Iran,Palestine n.k
Tufanye mambo ya Msingi,hivi vita havina msaada wala faida yoyote kwetu.
Na mods nao wanamuendekeza na mada zake za kikuda.Shida ya mtoa mada ni chuki dhidi ya Wakristo. Analazimisha hoja za uongo kukidhi kiu yake ya chuki na ubaguzi
uislam unatufunisha kuwapenda watu wa dini zote wale ambao hawaipigi vita uislam na sio dini fulani. sasa humu 99% wa ukiristo wanaupiga vita uislamShida ya mtoa mada ni chuki dhidi ya Wakristo. Analazimisha hoja za uongo kukidhi kiu yake ya chuki na ubaguzi
Haniya wa Iraq au Haniya wa Kina Wavaa mashuka?Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wnaalalamika wnatekwa lkn kifo cha Haniya wnaafurahia. Hii inathibitishwa hapa Jf Baada ya user wnaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.
cc
GENTAMYCINE
Hakuna waliofurahia kifo cha Haniya kama Saudi Arabia, UAE, Jordan na Bahrain.Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wnaalalamika wnatekwa lkn kifo cha Haniya wnaafurahia. Hii inathibitishwa hapa Jf Baada ya user wnaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.
cc
GENTAMYCINE
Uzushi huu sasa, mbona wewe unapiga vita Ukristo daily tena kwa hoja za ulaghai?!uislam unatufunisha kuwapenda watu wa dini zote wale ambao hawaipigi vita uislam na sio dini fulani. sasa humu 99% wa ukiristo wanaupiga vita uislam
Kumbe huyu Malaria 2 ni mlaji mzuri wa huyu mdudu !!!Kavimbiwa kitimoto huyu anatafuta pa kupumulia.
alikuwa ni gaindi ndugu yangu, ameuwa watoto wengi sana wa kiyahudi, na alikuwa mwizi wa misaada ya wapalestina ndio maana alikuwa hapatani na abas. kwa maisha yale ya wapalestine unaweza kuamini yeye alikuwa na utajiri wa 4b USD, yaani utajiri wa bahresa huu zidisha mara 4.Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wnaalalamika wnatekwa lkn kifo cha Haniya wnaafurahia. Hii inathibitishwa hapa Jf Baada ya user wnaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.
cc
GENTAMYCINE
Malipo ni hapa hapa dunianialikuwa ni gaindi ndugu yangu, ameuwa watoto wengi sana wa kiyahudi, na alikuwa mwizi wa misaada ya wapalestina ndio maana alikuwa hapatani na abas. kwa maisha yale ya wapalestine unaweza kuamini yeye alikuwa na utajiri wa 4b USD, yaani utajiri wa bahresa huu zidisha mara 4.
WEWE ITAKUWA MKIRISTO: SOMA AYA HIINa magaidi watapasuliwa sana hadi wakome, wao kuua wengine ni thawab kwa allah lakini wakiguswa wao mayowe kibao Mungu gani huyo mwenye double standards?
WEWE ITAKUWA MKIRISTO SOMA AYA HIIMalipo ni hapa hapa duniani
Duh,Hakuna waliofurahia kifo cha Haniya kama Saudi Arabia, UAE, Jordan na Bahran
AYA ISHAJIELEZA ZAMANI SANA KABLA YA WAZEE WAKO HAWAUJUI HATA HAWAUJUI UKIRISTOSasa hamia huko ambako hakuna Wakristo usituletee wendawazimu wako hapa.
Kama namuona ustaadh Malaria 2 na kisinia chake cha kitimoto na mezani ana K Vant kubwa halafu akimaliza hapo anapiga Takbir kubwaaa.
Sasa usitupigie makelele yako hatutaki kusikia huo usheitwan wako wa ubaguzi.AYA ISHAJIELEZA ZAMANI SANA KABLA YA WAZEE WAKO HAWAUJUI HATA HAWAUJUI UKIRISTO
Umetumwa? Nani kakuambia tunaitafuta faida, wewe Fanya Yako as long as hatukuombi Hela ya kula tuache.Tuacheni ushabiki jamani,naona hizi mambo wakristu wenzangu mnasapoti sana upande wa Israel na Waislam pia upande wa Iran,Palestine n.k
Tufanye mambo ya Msingi,hivi vita havina msaada wala faida yoyote kwetu.
Na sisi hatutaki uswahiba na magaidiTafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu AYA HII KABLA HATA WAMESHONARI HAWAJAINGIA AFRIKA