Kutangulia si kupata......walianzisha vita sasa wenyewe ndio wametangulia kufaMbona hakuna hata afisa mmoja wa Jerusalem aliyeuliwa?
Hayo meno na hicho kimwanya ni yeye, hapo walimchokonoa na hicho kipande cha ubao kuhakiki, hakuna AI hapoNimeona Al Jazeera aiseee lakini wamesema hizo picha ni AI generated..,hizi bado zinabaki kuwa TETESI tu View attachment 3127802
Front ipi hiyo ya kwenye giza pagaleni?Wanaosema alikua akijificha waumbuka mwamba alikua front kabisa akipambana vitani kama Mtume wetu Alivyopambana live katika battle
Wamebahatisha tu hao mazayuni.Tunaapa kulipiza kisasi.Sinwar hakuuawa kwa shambulizi la ndege bali mortar,na wala hakuwa chini handakini bali sambamba na askari wake wakipambana na israel,waliporusha mortar wala hawakujua kuwa sinwar yupo hapo walipolenga
Israel Akili mingi ila Kuna watu watatu humu jf hawawezi kukubali. Nitamshauri Benjamin awalipue wenyewe ili waaminiKabisa bado Ayatollah wa Iran
Israel shikeni adabu zenu tunataka mumuwahishe Ayatollah wa Iran awahi mabikira wajinga nyie Askari wa IDF mnatunyima uhondo na raha
Netanyahu vipi tupe raha
Sio mimi ni Qur anBoss la kampuni kubwa unatoa maoni ya aina hii!
Unataka kusemaje? Mbona pambio hili?— 🇮🇱/🇵🇸 NEW: Hamas leader Yahya Sinwar was found above ground, wearing a combat vest and with an AK by his side, together with two of his bodyguards
He was not hiding in a tunnel, nor was he hiding amongst civilians or Israeli hostages. He was besides his own fighters, right at the line of confrontation with the IDF.
After all these months, he was not killed by an airstrike or a targeted assassination; an Israeli soldier found his body by complete coincidence, after firing mortars at Hamas fighter in the area.
@Middle_East_Spectator
Unacheza na AI weweHayo meno na hicho kimwanya ni yeye, hapo walimchokonoa na hicho kipande cha ubao kuhakiki, hakuna AI hapo
Litakua jambo zuri,Ili tuote moto kipupwe chajaAyatollah loading.............
Kwahiyo amekufa?— 🇮🇱/🇵🇸 NEW: Hamas leader Yahya Sinwar was found above ground, wearing a combat vest and with an AK by his side, together with two of his bodyguards
He was not hiding in a tunnel, nor was he hiding amongst civilians or Israeli hostages. He was besides his own fighters, right at the line of confrontation with the IDF.
After all these months, he was not killed by an airstrike or a targeted assassination; an Israeli soldier found his body by complete coincidence, after firing mortars at Hamas fighter in the area.
@Middle_East_Spectator
AdvertisementSenior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.
SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...
Kafa au hajafa?Wanaosema alikua akijificha waumbuka mwamba alikua front kabisa akipambana vitani kama Mtume wetu Alivyopambana live katika battle