Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Mpaka nasikia kuumwa Netanyahu na IDF mnielewe

Kupona nikisikia kichwa cha Ayatollah wa Iran mmumekila kama cha Sinwar ndio nitapona dawa zote zimegoma

Netanyahu na IDF nisaidieni nipone
Ayatollah khameneiii hawamuui yule sio muhuni kama Hawa Hizborah sijui hamas.. yule analindwa na Sheria za kimataifa. Labda watamjegeja kama yule rais wa iran
 
Watakoma kuwaweka madarakani na kuwatangaza. Mtangulizi wake alitangulizwa July
 
Ukitaka kuona mashia ni vichaa wa dunia muue kiongozi wao wa dini.
Kheri umuue rais wa Iran kuliko kiongozi wa dini wa Iran.
Na kama ikatokea Israel akafanya hivyo maghala yote ya makombora ya Iran yatamiminwa Tel Aviv.
Kama kumuua tu kamanda wa Iran,Iran inalipiza kwa kurusha mamia ya makombora basi jifikirie kumuua supreme Leader itagharimu kiasi gani.
Wameshamimina sana makombora kwenda Israel mengi mno sio kitu kipya

Mimi naumwa dawa ya kupona ni Netanyahu na IDF wale kichwa cha Ayatollah wa Ira kama walivyokula cha Sinwar

Netanyahu na IDF do me a favor please
 
Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...
Hivi hiyo DNA and Fingerprint Testing ONGOING to determine the identity of a body at the site of the strike imekamilika mpaka conclude kuwa Yahya Sinwar amefariki?
 
Wameshamimina sana makombora kwenda Israel mengi mno sio kitu kipya

Mimi naumwa dawa ya kupona ni Netanyahu na IDF wale kichwa cha Ayatollah wa Ira kama walivyokula cha Sinwar

Netanyahu na IDF do me a favor please
Unahemka sana hadi unashangaza.
Israel hawezi kufanya unachokiota kijana.
Ukitaka hiyo Israel iangamie imuue kiongozi wa dini wa Iran.
Itaangamia hamtaamini.
 
Ukitaka kuona mashia ni vichaa wa dunia muue kiongozi wao wa dini.
Kheri umuue rais wa Iran kuliko kiongozi wa dini wa Iran.
Na kama ikatokea Israel akafanya hivyo maghala yote ya makombora ya Iran yatamiminwa Tel Aviv.
Kama kumuua tu kamanda wa Iran,Iran inalipiza kwa kurusha mamia ya makombora basi jifikirie kumuua supreme Leader itagharimu kiasi gani.
Akitoboa hizi wiki tatu niite mbwa
 
Back
Top Bottom