Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...
Qmmke IDF wamefumua ubongo, Octoba 7 waliuwa kihuni, sasa ni zamu yao kuwawa kihuni!
 
Mimi sio mkristu wa ajabu kenge wewe. Unahisi kila mkristu ni poyoyo anashikiwa akili?

Unahisi una mamlaka ya kunilaani wewe?

Yesu ana mambo mengi ya maana ya kufanya yenye tija hawezi kukusikiliza mtu kama wewe
Easy...easy!You don't have to worry!
 
Akitoboa hizi wiki tatu niite mbwa
Tambua akifa Israel itapata kila aina za msiba.
Narudia kukwambia shia ukitaka kuwaona machizi duniani hakuna muue kiongozi wao wa dini.
Kama kamanda tu wanakurushia makombora 200 sasa jiulize ukimuua kiongozi wa dini watakufanyaje.
 
Sasa wewe na akili zako za kuvukia barabarani tangu yavurumushwe makombora toka iran april na juzi wamekufa wayahudi wangapi wakubwa campared kwa hao makamanda wa IRGF ?
 
Tambua akifa Israel itapata kila aina za msiba.
Narudia kukwambia shia ukitaka kuwaona machizi duniani hakuna muue kiongozi wao wa dini.
Kama kamanda tu wanakurushia makombora 200 sasa jiulize ukimuua kiongozi wa dini watakufanyaje.
Hivi,hayo mawazo mlifundishwa wapi kwamba akiuawa huyo kiumbe itakuwa dhiki kubwa duniani?
 
Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...

Pia soma
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
Hii habari ulitakiwa kuileta baada ya DNA na Fingerprint kuthibitisha
 
Back
Top Bottom