Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Warning, the news about the assassination of Hamas leader Yahya Sinwar is completely false, and the occupation's publication and circulation of this news is an attempt to collect intelligence information, and it had previously done so with leader Muhammad Deif, please be careful ⚠️
 
Jidanganye hivyohivyo. Subiri akae kwenye tageti halafu tuone hayo mashia yatafanya nini kwa ulimwengu wa leo!
Usiseme ulimwengu wa leo sema Israel.
Kama kuuliwa kwa kamanda wa kawaida wa IRGC Iran ilirusha zaidi ya makombora 200+,sasa jiulize ukimuua Supreme leader kitakukuta nini!?
Muda mwingine huwa mnakaza akili kipumbavu wacheni ubishi wa kipumbavu.
Ayatollah ni SUPREME LEADER wa Iran.
Vita itageuka kuwa ya kidini,itakua religious war.
Unajua athari yake kwa Iran!??
Houthi hawajawahi kufikiria kuingia Israel wataingia hilo likitokea as well as Hizbollah.
 
Tunaomba aman vita aijawai kuwa jawabu.lkn Israel ndio anadhani vita vitamaliza shida zake kwa ukosefu w amani mm siamini kupitia vita Israel atapata amani sio kweli bali moto utadhidi kuwaka kama ulivowaka kwamiaka 50 sasa apo chap atateuliwa mwengine ivyoivyo ata akifa nae wataweka mwengine kwani washakufa wangapi na awajawai kukosa kiongozi. Hamas itaendelea na vita itaendelea. Asi Israel akumbushuke shaka asubui kuwa alitakiwa achague amani waisrael wangapi wanazikwa na wataendelea kuzikwa uku wapalestina wakizikwa zaid.
Kati ya israel na hao watu n nan mpenda vita..?
 
Usiseme ulimwengu wa leo sema Israel.
Kama kuuliwa kwa kamanda wa kawaida wa IRGC Iran ilirusha zaidi ya makombora 200+,sasa jiulize ukimuua Supreme leader kitakukuta nini!?
Muda mwingine huwa mnakaza akili kipumbavu wacheni ubishi wa kipumbavu.
Ayatollah ni SUPREME LEADER wa Iran.
Vita itageuka kuwa ya kidini,itakua religious war.
Unajua athari yake kwa Iran!??
Houthi hawajawahi kufikiria kuingia Israel wataingia hilo likitokea as well as Hizbollah.
Zile fashifashi?Acha vitisho vya kufikirika.Yaani wewe ndiyo unajua sana mipaka ya vipigo kivita kuliko waliopo vitani?🤣🤣🤣
 
Usiseme ulimwengu wa leo sema Israel.
Kama kuuliwa kwa kamanda wa kawaida wa IRGC Iran ilirusha zaidi ya makombora 200+,sasa jiulize ukimuua Supreme leader kitakukuta nini!?
Muda mwingine huwa mnakaza akili kipumbavu wacheni ubishi wa kipumbavu.
Ayatollah ni SUPREME LEADER wa Iran.
Vita itageuka kuwa ya kidini,itakua religious war.
Unajua athari yake kwa Iran!??
Houthi hawajawahi kufikiria kuingia Israel wataingia hilo likitokea as well as Hizbollah.
1. Kwa hiyo Hezbollah wanamthamini Ayyatolah kuliko maisha yao wanavyokung'utwa sasa hivi?

2. Kuamua kuinigia na kufika Israel ni vitu viwili tofauti
 
Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...

Pia soma
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
Kafa kijinga wakati anapigana jihad?
 
Usiseme ulimwengu wa leo sema Israel.
Kama kuuliwa kwa kamanda wa kawaida wa IRGC Iran ilirusha zaidi ya makombora 200+,sasa jiulize ukimuua Supreme leader kitakukuta nini!?
Muda mwingine huwa mnakaza akili kipumbavu wacheni ubishi wa kipumbavu.
Ayatollah ni SUPREME LEADER wa Iran.
Vita itageuka kuwa ya kidini,itakua religious war.
Unajua athari yake kwa Iran!??
Houthi hawajawahi kufikiria kuingia Israel wataingia hilo likitokea as well as Hizbollah.
Iran na wafuasi wake huwa mna mbwembwe sana na vimaneno vya mikwara cheap. You just bark bark bark, but never bite. Subiri siku Ayatollah ajae kwenye 18 za wanaume ndo utajua hujui
 
Duuh hadi nawahurumia mdg zetu...japo mnawapa moyo buku hawajui waendako.

Kumbe mtu wenu alifurahia akina Joshua na wengine kuuawa oktoba 7?
Hamas hana shida na akina Joshua iweje wauawe? Lazima tujiulize
 
1. Kwa hiyo Hezbollah wanamthamini Ayyatolah kuliko maisha yao wanavyokung'utwa sasa hivi?

2. Kuamua kuinigia na kufika Israel ni vitu viwili tofauti
1)Unaonaga sherehe wanazofanya mashia za kujichana na mapanga ya kumbukumbu za Hussein!?
Kiongozi wa kidini kwa Shia ni mtu muhimu kuliko maisha yao.
2) Hizbollah wameshaingia mpakani na Israel mara nyingi tu na kufanya mashambulizi na kurudi Lebanon.
Usisahau hata tukio la 2006 waliteka askari wa mpakani wanne na kuua nane ndani ya mipaka ya Israel.
 
Back
Top Bottom