Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...

Pia soma
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
Kwani tayari imethibitishwa?
 
Nakuona mkosefu sababu hutaki kuamini kuwa YESU KRISTO ni mwana wa MUNGU

Badala yake una mwamini nabii wa uongo Muhammad ambaye ni mpinga KRISTO
Mimi ni mkristo zaidi kuliko wewe nafuata mafundisho ya Yesu kuliko wewe na nina uhakika na hilo. Hivyo hapa siwezi kukupa darasa kikamilifu labda ufungue uzi mwingine kunihubiria huko mtakuja kujibu hoja nitafunua Biblia na Quran kulijibu/kuelimisha
 
Kama mmefuraiya na majini yenu yamelidhika kuona damu ya binadamu mwenzetu imemwagika basi sawa mpo kwenye ibada ya damu namungu wenu anawaongezea mibaraka kwakufuraiya kifo chakiumbe w mungu uyouyo. Akili kumkichwa
 
Wewe ni mpuuzi grade A.
Kumbe najadiliana na mtoto mdogo!?
Najadiliana na mtu asiyejua lolote.
Hata nilichoongea hujakielewa!?
Wacha nikuelekeze.

Ngoja nikurudishe nyuma.

Trump alipomuua yule kamanda wa Iran mkaongea sana na kuapiza kulipa kisasi lkn hakuna chcht mlifanya zaidi ya kufira wake zenu tu.
Kiongozi aliyeuawa alikua ni Qassem Suleiman,Iran ililipua kambi ya USA ya IRAQ na kulitokea vifo na majeruhi.
Trump aliapa kuivamia Iran na aliandaa hadi navy seal wakaishia ghuba ya uajemi na meli zao.
Halafu unasema hawajalipa kisasi!?
Ile kambi ya USA nchini Iraq iliyolipuliwa nani aliilipua!?
Au shangazi yako!?
Pili, kiongozi wa hamas alipouliwa ndani ya iran mkasema sana pia mara mnaapia kulipiza kisasi lkn hadi leo hatujaona cha maana chcht mmefanya zaidi ya kufirana tu
Tukio la kuuliwa Ismail Haniyeh USA ilimsihi Masoud Peshkizian rais wa Iran kuwa Iran isilipe kisasi wataongea nao kuhusu kuwaondolea vikwazo vya kiuchumi.
Tukio likakaa halikulipwa kisasi wakaja wakamuua na Kamanda wa Iran kule Beirut na pia kuhusu vikwazo hawajajadili kumuondolea vikwazo kama walivyomuahidi.
OKTOBA MOSI MWAKA HUU IRAN ILIRUSHA MAKOMBORA 200 NDANI YA ISRAEL.
HAYO MAKOMBORA 200 ALIRUSHA SHANGAZI YAKO!??
ACHA UHANISI MTOTO WA KIUME.
Kisasi cha Ismail Haniyeh kimelipwa mwezi huu.

Nyie endeleeni kufanya ufirauni muwaishwe kwa hizo bikra mlizoahidiwa pumbavu zenu kabisa, mnajidaigi mna msimamo mkali sasa wanaume wa shoka wanawapelekea moto mmebaki kuduwaa tu. Stupid bastard kabisa na kiingereza chako cha kuchambia vijambio
Huna akili huna unalolijua.
Iran imeshafanya mashambulizi mara mbili Israel tena ya wazi wazi.
May 2024 ilirusha drones na missile 300 kwenda Israel.
Oktoba mosi mwezi huu huu Iran imerusha missile 200 kuelekea Israel.
TUNATAKA TUMUONE NETANYAHU AKILIPIZA KISASI KWA ISRAEL.
KITENDO CHA IRAN KURUSHA MAKOMBORA ISRAEL NI SAWA NA KUTANGAZA FULL OUT WAR.
NATAKA TUMUONE ISRAEL AKILIPIZA KISASI.
KISASI CHA ISMAIL HANIYEH KIMELIPWA MWEZI HUU WA KUMI TAREHE MOJA.
Ukija uje kwa adabu na uache matusi,ukileta matusi na mimi nakutusi.
 
Mimi ni mkristo zaidi kuliko wewe nafuata mafundisho ya Yesu kuliko wewe na nina uhakika na hilo. Hivyo hapa siwezi kukupa darasa kikamilifu labda ufungue uzi mwingine kunihubiria huko mtakuja kujibu hoja nitafunua Biblia na Quran kulijibu/kuelimisha
Bas acha kushabikia vita maana ni uovu na mwanini MUNGU na KRISTO mwanae aliye mtuma
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-17-17-42-54-166.jpg
    Screenshot_2024-10-17-17-42-54-166.jpg
    422.7 KB · Views: 2
Kwahiyo unampangia? Na hayo matusi ni ya nini tena wakati mimi sijakutukana
Fala siyo tusi bali ni hali duni ya matumizi ya ubongo,narudia, Mungu hakuzaa wala kuzaliwa,hana mke wala mume,hana hawara
 
Kuna taarifa naangalia hapa sky news ya uwezekano wa Yahya Sinwar Kauawa na Israel. Kama Sinwar atakuwa amekufa basi Hamas watapata pigo kubwa maana ndio alikuwa kiongozi wao mkuu baada ya Haniyeh kuuawa huko Tehran.
Dunia imekuwa ya kutisha. Kila siku imekuwa ni kusikia tu idadi ya wanaouawa. Imekuwa kama kama ni habari za kawaida. Tena hata lugha imepozwa ili ionekane ni kawaida ukisikia mtu amekuwa eliminated au neutralized, tayari huyo amerudishwa mavumbini.
 
Back
Top Bottom