Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Hata iwe kichwa nazi pale mazayuni hawatakaa wakatulia pale sio kwao
 
Na ndiye waziri mkuu wa israeli mwenye rekondi ya kipekee katika utawala wake tangu aingie awamu yake ya kwanza. Bado ana kazi kubwa kuitia adabu iran iache kidomodomo na isaini mkataba wa amani inyamaze kimya kama misri katika mkataba wa amani wa camp david
 
NAKUBALIANA NAWE HUYU JAMAA NI SHUJAA. NATAKA NIKIPATA MTOTO NIMWITE BENJAMINI NETANYAU SHEMHOZA
 
Ona unavyotoa mifano ambayo haifanani.
Iran imelipua miundombinu ya kijeshi tena mingi tu.
Na haijulikani kama kuna mwanajeshi ambaye hajafa ama laa.
Usifananishe na mfano wa TV ni vitu haviendani.
Unajua gharama ya F-35 moja mkuu!??
Nenda kapige hesabu.
Usisahau kuwa Hizbollah ndani yake kuna wanajeshi wa Iran ndio wanasaidia operation za Hizbollah ndio maana unaona mpakani na Lebanon Israel anapata kibano.

Israel afanye anavyofanya asiguse raia wa Iran,akigusa raia mara hii Iran hatopiga miundombinu ya kijeshi bali atapiga raia.
 
Nilipomuona nimelia sana kwa kwikwi huku nachunga punda wangu hadi nikaanza kumuita majina kama netapaka,natanyau,dracula,the beast G.KOAT(the Great Killer of all Times)!IAnd,yet,I hate to hate this old-boy!🤔
 
Kabamiza vichwa ngumu ndani ya muda mfupi wakati wenzake walishindwa kubamiza vichwa hivi vilivyowasumbua. Ndiye atakuwa waziri mkuu maarufu kuwahi kutokea israel. Akina menechim begni, david ben gurion na golder meir wakasome
Ariel Sharon umemsahau!Balaa tupu.Hawa mazayuni tutadili nao hapa kwa hapa kama kidevu na ndevu.🙏😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…