Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Mbona unabwatuka!?
Utake usitake kitendo cha Iran kurusha makombora Israel ni sawa na kutangaza full out war.
Kitendo kinyume na hiko kitakua ni cha kioga tu na chepesi.
nani anabwatuka?unajua kiswahili wewe? soma kamusi ya kiswahili ili ujue kubwatuka ni nini bro,Unapotaka kujafiliana na mimi ujipange kwa hoja sio kwa viroja
 
nani anabwatuka?unajua kiswahili wewe? soma kamusi ya kiswahili ili ujue kubwatuka ni nini bro,Unapotaka kujafiliana na mimi ujipange kwa hoja sio kwa viroja
Najua vizuri maana ya kubwatuka.
Na wala sileti viroja ila naona wewe umeishiwa hoja ndio unapindua mada.
We kubali unabwatuka.
Narudia tena Iran kuishambulia Israel kwa makombora ni sawa na ku declare full out war.
 
Najua vizuri maana ya kubwatuka.
Na wala sileti viroja ila naona wewe umeishiwa hoja ndio unapindua mada.
We kubali unabwatuka.
Narudia tena Iran kuishambulia Israel kwa makombora ni sawa na ku declare full out war.
naishiwa hoja vipi?kuishiwa hoja ni kukubali ngonjera zako?kwamba wewe ukiimba mie niitikie? kwamba wewe ukijamba nami niitikie kwa kujamba?tulia uelewe na kama unadoma na kufuatilia habari utajua ni idadi gani ya makomboya supersonic ballistic missiles ya irani yalioelekea israel,unapotaka kujafiliana nami jipange,usije kichwakichwa hutaniweza,mimi ni mkulungu
 
Naona dalili nyingine ya mtu kuishiwa hoja,ni kuongea maneno mengi yasiyo na tija,trivial points.
Hakuna mtu ambaye hajaona makombora yaliyopenya Israel,na safari hii iron dome,david sling zote zimeonesha udhaifu.
Asilimia kubwa ya makombora yamepenya na kuharibu millitary infrastructures za Israel ikiwemo Nevatim airbase ambalo F-35 zaidi ya 10 zimeharibiwa.
Wewe unaongea nini wewe!??
Israel ilifikia hatua wamezuia hadi waandishi wa habari kuripoti ili kuficha maafa.
Na wewe unaleta mboyoyo gani!??
 
what are the trival points?mimi nakujibu kwa mujibu wa hoja zako,kumbuka kuwa biblia inasema mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije kujiona na hekima machoni pake
 
what are the trival points?mimi nakujibu kwa mujibu wa hoja zako,kumbuka kuwa biblia inasema mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije kujiona na hekima machoni pake
You are bringing trivial points kijana.
Hakuna ulichojibu kulingana na hoja zangu bali unaendelea kubwatuka hadi sasa.
Continue triviality.
 
You are bringing trivial points kijana.
Hakuna ulichojibu kulingana na hoja zangu bali unaendelea kubwatuka hadi sasa.
Continue triviality.
A blind person always pretend to know much,hakuna hoja yoyote uliyotoa kuwanyima haki wapalestina,maazimio menginya UN yanawapa haki wapalestina,kama wewe kwa ulevi wako wa trivality unadhani kuwa umeongea points,ni sawa,pia kumbuka wewe huna maksi zozote za kuwanyima haki wapalestina,sikulazimishi ufate hoja zangu kama ambavyo wewe huwezi kunilazimisha nifate zako,ukitaka hoja karibu na ukiona umeshinda sawa,lakini kaa ukijua ipo siku wapalestina wataipata haki yao
 
Sasa mkuu mbona hapa hatuzungumzii kuhusu Palestina kupata haki yao!?
Hata comment ulioni quote ilihusu Iran kuishambulia Israel haikuhusu Palestina kupata uhuru.
Au umeshatoka kuhusu Iran na Israel kushambuliana sasa umehamia Palestina!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu vipi aiseee!?
Kama unazungumzia Palestina yes ipo siku watapata haki yao.
Japo sio sasa ni mbeleni sana kwasababu USA akiwa bado super power ataendelea kushinikiza Palestina kutokua taifa huru.
 
mashambukizi ya iran kwa israeli yanatokana na nini? bro?
 

View: https://x.com/Osint613/status/1848343469929930805
 
hezbolah wanajenga launch zao za misile kwenye makazi ya kiraia, comand centre zao wanazijenga kwenye makazi ya kiraia. je israel anapoenda kuziharibu ulitegemea raia wasife?
 
wanalipua hadi beirut sababu huko kuna mindombinu yao hujasikia wanalipua mabenk yao yanayotakatisha hela?
 
hahahaaaa....Hezbolah hajawahi kuua IDF 300 shehe hizo ni stori za wavaa vizibao kwenye mkeka. wangekua na jeuri hiyo wasingeuliwa kama kuku wangekua na ujanja huo uongozi wote wa kijeshi wasingeuliwa kama bata..hivo wewe unawezaje kufanya shambulizi kama hilo ilhali wewe mwenyewe kijilinda tuu ni changamoto? hezbola na iran ni wafamaji maneno mengi kama waswahili wa kipemba
 
iran hana jeuri yeyote ya kulipiza kisasi wameuliwa watu kwenye ardhi yake, kauliwa haniya nchini kwake na hadi leo hawajui haniya alikufa kwa namna gani, na hajafanya chochote zaidi ya kurusha vikombora uchwara vyote vimeishiwa mafuta angani vikayeyuka juu huko, kapigwa ubalozini kwake syria na megeneral wake wote wakauliwa... kapigwa nasralah lebanon na general wa iran akauliwa..yeye kaishia kurusha vikombora uchwara havijaleta maafa yeyote israel, sasa hivi kinasubiriwa kibabu khamenei siku zake zinahesabiwa
 
hezbolah wanajenga launch zao za misile kwenye makazi ya kiraia, comand centre zao wanazijenga kwenye makazi ya kiraia. je israel anapoenda kuziharibu ulitegemea raia wasife?
Hizbollah missile launch site zao zipo mpakani na Israel katika milima na pia wanatumia kambi za jeshi kuu la Lebanon.
Command Centre ipo Syria haipo Lebanon.
Umefeli bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…