We unaona imewaathiri vipi!??hata hawajali utawatafsiri vipi. Baada ya kuwaona waoga imewaathiri kivipi wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaona imewaathiri vipi!??hata hawajali utawatafsiri vipi. Baada ya kuwaona waoga imewaathiri kivipi wao?
Ni mijadala inayoendelea na kuishia hapa, haina athari yoyote kwa idf, iran,hamas wala HezbollahWe unaona imewaathiri vipi!??
fanya utafiti kwenye media maana kila chombo cha habari,vikiwemo vya israel vimetangazamakombora yalikua mangapi?
nani anabwatuka?unajua kiswahili wewe? soma kamusi ya kiswahili ili ujue kubwatuka ni nini bro,Unapotaka kujafiliana na mimi ujipange kwa hoja sio kwa virojaMbona unabwatuka!?
Utake usitake kitendo cha Iran kurusha makombora Israel ni sawa na kutangaza full out war.
Kitendo kinyume na hiko kitakua ni cha kioga tu na chepesi.
Najua vizuri maana ya kubwatuka.nani anabwatuka?unajua kiswahili wewe? soma kamusi ya kiswahili ili ujue kubwatuka ni nini bro,Unapotaka kujafiliana na mimi ujipange kwa hoja sio kwa viroja
naishiwa hoja vipi?kuishiwa hoja ni kukubali ngonjera zako?kwamba wewe ukiimba mie niitikie? kwamba wewe ukijamba nami niitikie kwa kujamba?tulia uelewe na kama unadoma na kufuatilia habari utajua ni idadi gani ya makomboya supersonic ballistic missiles ya irani yalioelekea israel,unapotaka kujafiliana nami jipange,usije kichwakichwa hutaniweza,mimi ni mkulunguNajua vizuri maana ya kubwatuka.
Na wala sileti viroja ila naona wewe umeishiwa hoja ndio unapindua mada.
We kubali unabwatuka.
Narudia tena Iran kuishambulia Israel kwa makombora ni sawa na ku declare full out war.
Naona dalili nyingine ya mtu kuishiwa hoja,ni kuongea maneno mengi yasiyo na tija,trivial points.naishiwa hoja vipi?kuishiwa hoja ni kukubali ngonjera zako?kwamba wewe ukiimba mie niitikie? kwamba wewe ukijamba nami niitikie kwa kujamba?tulia uelewe na kama unadoma na kufuatilia habari utajua ni idadi gani ya makomboya supersonic ballistic missiles ya irani yalioelekea israel,unapotaka kujafiliana nami jipange,usije kichwakichwa hutaniweza,mimi ni mkulungu
what are the trival points?mimi nakujibu kwa mujibu wa hoja zako,kumbuka kuwa biblia inasema mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije kujiona na hekima machoni pakeNaona dalili nyingine ya mtu kuishiwa hoja,ni kuongea maneno mengi yasiyo na tija,trivial points.
Hakuna mtu ambaye hajaona makombora yaliyopenya Israel,na safari hii iron dome,david sling zote zimeonesha udhaifu.
Asilimia kubwa ya makombora yamepenya na kuharibu millitary infrastructures za Israel ikiwemo Nevatim airbase ambalo F-35 zaidi ya 10 zimeharibiwa.
Wewe unaongea nini wewe!??
Israel ilifikia hatua wamezuia hadi waandishi wa habari kuripoti ili kuficha maafa.
Na wewe unaleta mboyoyo gani!??
You are bringing trivial points kijana.what are the trival points?mimi nakujibu kwa mujibu wa hoja zako,kumbuka kuwa biblia inasema mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije kujiona na hekima machoni pake
A blind person always pretend to know much,hakuna hoja yoyote uliyotoa kuwanyima haki wapalestina,maazimio menginya UN yanawapa haki wapalestina,kama wewe kwa ulevi wako wa trivality unadhani kuwa umeongea points,ni sawa,pia kumbuka wewe huna maksi zozote za kuwanyima haki wapalestina,sikulazimishi ufate hoja zangu kama ambavyo wewe huwezi kunilazimisha nifate zako,ukitaka hoja karibu na ukiona umeshinda sawa,lakini kaa ukijua ipo siku wapalestina wataipata haki yaoYou are bringing trivial points kijana.
Hakuna ulichojibu kulingana na hoja zangu bali unaendelea kubwatuka hadi sasa.
Continue triviality.
Sasa mkuu mbona hapa hatuzungumzii kuhusu Palestina kupata haki yao!?A blind person always pretend to know much,hakuna hoja yoyote uliyotoa kuwanyima haki wapalestina,maazimio menginya UN yanawapa haki wapalestina,kama wewe kwa ulevi wako wa trivality unadhani kuwa umeongea points,ni sawa,pia kumbuka wewe huna maksi zozote za kuwanyima haki wapalestina,sikulazimishi ufate hoja zangu kama ambavyo wewe huwezi kunilazimisha nifate zako,ukitaka hoja karibu na ukiona umeshinda sawa,lakini kaa ukijua ipo siku wapalestina wataipata haki yao
mashambukizi ya iran kwa israeli yanatokana na nini? bro?Sasa mkuu mbona hapa hatuzungumzii kuhusu Palestina kupata haki yao!?
Hata comment ulioni quote ilihusu Iran kuishambulia Israel haikuhusu Palestina kupata uhuru.
Au umeshatoka kuhusu Iran na Israel kushambuliana sasa umehamia Palestina!?
😂😂😂😂😂😂😂Mkuu vipi aiseee!?
Kama unazungumzia Palestina yes ipo siku watapata haki yao.
Japo sio sasa ni mbeleni sana kwasababu USA akiwa bado super power ataendelea kushinikiza Palestina kutokua taifa huru.
Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel.
Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza.
---
Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.
PIA SOMA
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
kwenye media zote sijaona aseefanya utafiti kwenye media maana kila chombo cha habari,vikiwemo vya israel vimetangaza
hezbolah wanajenga launch zao za misile kwenye makazi ya kiraia, comand centre zao wanazijenga kwenye makazi ya kiraia. je israel anapoenda kuziharibu ulitegemea raia wasife?Hili jambo tulishalizungumzia humu hakuna mahala Hamas au Hizbollah wanatumia raia kama ngao HUU UONGO ICJ WALISHAUWEKA WAZI.
Usiniletee kelele hizi za uongo,sawa kijana!?
Wiki mbili zilizopita Hizbollah wameshambulia Kiryat Shmona wao Israel wanalipua Beirut ilhali Hizbollah wapo katika mipaka yao.
Kwa akili za kawaida utajua tu IDF inalipua makazi ya raia kimakusudi.
Nikisema we FALA NA MPUMBAVU NAKOSEA!??
Umeona damage ya makombora ya Iran ndani ya Israel!?
Pia nilishakueleza HIBZOLLAH OPERATIONS ANAZOFANYA MOJA WAPO ILE YA KWANZA ALIOUA IDF 300 WANASAIDIWA NA IRGC IRAN REVOLUTIONARY GUARDS CORPS.
Ndio maana unaona Israel inapata tabu na vifo vya askari wake wengi tu.
Iran ana njia ya kulipiza kisasi direct na indirect kupitia proxy wake,na katika hao proxy wake ameweka askari wake nguruwe pori wewe.
Hakuna media ambayo ilifungwa usitufanye sisi watoto hapa.
Hata baadhi ya makamanda wa Israel waliongea kuwa lile ni shambulio la kioga kutoka Israel na wakalaumiana wenyewe kwa wenyewe.
Huongei na mtoto hapa sawa kijana!??
wanalipua hadi beirut sababu huko kuna mindombinu yao hujasikia wanalipua mabenk yao yanayotakatisha hela?Hili jambo tulishalizungumzia humu hakuna mahala Hamas au Hizbollah wanatumia raia kama ngao HUU UONGO ICJ WALISHAUWEKA WAZI.
Usiniletee kelele hizi za uongo,sawa kijana!?
Wiki mbili zilizopita Hizbollah wameshambulia Kiryat Shmona wao Israel wanalipua Beirut ilhali Hizbollah wapo katika mipaka yao.
Kwa akili za kawaida utajua tu IDF inalipua makazi ya raia kimakusudi.
Nikisema we FALA NA MPUMBAVU NAKOSEA!??
Umeona damage ya makombora ya Iran ndani ya Israel!?
Pia nilishakueleza HIBZOLLAH OPERATIONS ANAZOFANYA MOJA WAPO ILE YA KWANZA ALIOUA IDF 300 WANASAIDIWA NA IRGC IRAN REVOLUTIONARY GUARDS CORPS.
Ndio maana unaona Israel inapata tabu na vifo vya askari wake wengi tu.
Iran ana njia ya kulipiza kisasi direct na indirect kupitia proxy wake,na katika hao proxy wake ameweka askari wake nguruwe pori wewe.
Hakuna media ambayo ilifungwa usitufanye sisi watoto hapa.
Hata baadhi ya makamanda wa Israel waliongea kuwa lile ni shambulio la kioga kutoka Israel na wakalaumiana wenyewe kwa wenyewe.
Huongei na mtoto hapa sawa kijana!??
hahahaaaa....Hezbolah hajawahi kuua IDF 300 shehe hizo ni stori za wavaa vizibao kwenye mkeka. wangekua na jeuri hiyo wasingeuliwa kama kuku wangekua na ujanja huo uongozi wote wa kijeshi wasingeuliwa kama bata..hivo wewe unawezaje kufanya shambulizi kama hilo ilhali wewe mwenyewe kijilinda tuu ni changamoto? hezbola na iran ni wafamaji maneno mengi kama waswahili wa kipembaHili jambo tulishalizungumzia humu hakuna mahala Hamas au Hizbollah wanatumia raia kama ngao HUU UONGO ICJ WALISHAUWEKA WAZI.
Usiniletee kelele hizi za uongo,sawa kijana!?
Wiki mbili zilizopita Hizbollah wameshambulia Kiryat Shmona wao Israel wanalipua Beirut ilhali Hizbollah wapo katika mipaka yao.
Kwa akili za kawaida utajua tu IDF inalipua makazi ya raia kimakusudi.
Nikisema we FALA NA MPUMBAVU NAKOSEA!??
Umeona damage ya makombora ya Iran ndani ya Israel!?
Pia nilishakueleza HIBZOLLAH OPERATIONS ANAZOFANYA MOJA WAPO ILE YA KWANZA ALIOUA IDF 300 WANASAIDIWA NA IRGC IRAN REVOLUTIONARY GUARDS CORPS.
Ndio maana unaona Israel inapata tabu na vifo vya askari wake wengi tu.
Iran ana njia ya kulipiza kisasi direct na indirect kupitia proxy wake,na katika hao proxy wake ameweka askari wake nguruwe pori wewe.
Hakuna media ambayo ilifungwa usitufanye sisi watoto hapa.
Hata baadhi ya makamanda wa Israel waliongea kuwa lile ni shambulio la kioga kutoka Israel na wakalaumiana wenyewe kwa wenyewe.
Huongei na mtoto hapa sawa kijana!??
iran hana jeuri yeyote ya kulipiza kisasi wameuliwa watu kwenye ardhi yake, kauliwa haniya nchini kwake na hadi leo hawajui haniya alikufa kwa namna gani, na hajafanya chochote zaidi ya kurusha vikombora uchwara vyote vimeishiwa mafuta angani vikayeyuka juu huko, kapigwa ubalozini kwake syria na megeneral wake wote wakauliwa... kapigwa nasralah lebanon na general wa iran akauliwa..yeye kaishia kurusha vikombora uchwara havijaleta maafa yeyote israel, sasa hivi kinasubiriwa kibabu khamenei siku zake zinahesabiwaHili jambo tulishalizungumzia humu hakuna mahala Hamas au Hizbollah wanatumia raia kama ngao HUU UONGO ICJ WALISHAUWEKA WAZI.
Usiniletee kelele hizi za uongo,sawa kijana!?
Wiki mbili zilizopita Hizbollah wameshambulia Kiryat Shmona wao Israel wanalipua Beirut ilhali Hizbollah wapo katika mipaka yao.
Kwa akili za kawaida utajua tu IDF inalipua makazi ya raia kimakusudi.
Nikisema we FALA NA MPUMBAVU NAKOSEA!??
Umeona damage ya makombora ya Iran ndani ya Israel!?
Pia nilishakueleza HIBZOLLAH OPERATIONS ANAZOFANYA MOJA WAPO ILE YA KWANZA ALIOUA IDF 300 WANASAIDIWA NA IRGC IRAN REVOLUTIONARY GUARDS CORPS.
Ndio maana unaona Israel inapata tabu na vifo vya askari wake wengi tu.
Iran ana njia ya kulipiza kisasi direct na indirect kupitia proxy wake,na katika hao proxy wake ameweka askari wake nguruwe pori wewe.
Hakuna media ambayo ilifungwa usitufanye sisi watoto hapa.
Hata baadhi ya makamanda wa Israel waliongea kuwa lile ni shambulio la kioga kutoka Israel na wakalaumiana wenyewe kwa wenyewe.
Huongei na mtoto hapa sawa kijana!??
basi kama hujaona but widen the scope of your findings utapatahakuna kombora
kwenye media zote sijaona asee
Hizbollah missile launch site zao zipo mpakani na Israel katika milima na pia wanatumia kambi za jeshi kuu la Lebanon.hezbolah wanajenga launch zao za misile kwenye makazi ya kiraia, comand centre zao wanazijenga kwenye makazi ya kiraia. je israel anapoenda kuziharibu ulitegemea raia wasife?