Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Hahahaaa! Kuirushia dron fimbo! 😍😏😏😏😏hata hao mabikira 72 wa peponi watamkataa. Kufa gani huko!
Drone ilitumwa baada ya jengo kuwa limepigwa bomu na kifaru, hapo Yahya akiwa tayari kesha jeruhiwa vibaya kavunjika mkono wakulia na mguu kitendo cha kujaribu kuipiga drone kwa fimbo akitumia mkono wa kushoto kimemchora kwa watu wake kama kiongozi shujaa, shahidi aliyepigana mpaka tone la mwisho la uhai wake, Waisrael wamebugi kuachia ile fotage ya drone ni bonge la promo kwa mwendazake.
 
BRO, YOU ARE NEXT!!!!
20241018_182535.jpg
 
Unashabikia bila ya kujua , basi hao wapalestina walitekwa tena hata watoto na israel kabla yaani mpaka April mwaka jana ...Jamaa wakajitahidi ile oktoba kukamata wale ili wapate kubadilisha mateka wenzao watoke , wewe bado unaona sawa kuwakejeli ...Fikiria mara 2 mbili 😀 😀 😀
View attachment 3128771
Hivi Tanzania pia kumbe tulichukua mateka wa palestina mana waliwaua kabisa vijana wetu bila hata kuwahoji vizuri
 
Hamjaboni wadau!? Hii ni kwa mujibu wa Al Jazeera inasemekana yahya sinwar,kiongoz wa Hamas kalambishwa mchanga View attachment 3127793
"ISRAEL HITS GAZA SCHOOL" halafu kickers, military investigating whether Hamas leader killed? Bado tutawalaumu Israeli kupiga maeneo ya public services? Kiongozi mkuu wa vita kwenda kujificha maeneo ya shule si ni kwamba unataka watu wapige mabomu shule ili watoto wafe?
 
Hizbullah wanakuambia wameanzisha new phase of war against IDF kulipa kifo Cha Sinwar, Hawa jamaa huwa hawaishiwi vituko sijui hata wako phase ya ngapi.
 
Shangazi umesilimu!?ushagundua hila za shetani au unachokifanya ndio hila yenyewe!?
Kwa hiyo hapo kwenu shangazi zako wana majina ya Musa,Joni na Abdala halafu baba yako anaitwa Mery,mjombaako anaitwa Anna siyo?Kurabashakarabashakara bakande wewe!
 
Mossad sijui Israel sijui Mayahudi yaani wanaamua tu week hii nani tumweke kwenye target. Wanamla kichwa. Si sawa. Yahya Sinwar ni kiongozi mkubwa sana wa Hamas. Wamemuua

Serikali isinyamaze. Hili suala si dogo Israel wana tick tu kwenye kidaftari chao
✅ TAYARI

Si sawa hata kidogo. Wameonesha na video Sinwar amebaki na fimbo tu kafunikwa na mavumbi mpaka kwenye ulimi. Huu ni udhalilishaji. Si sawa. Tuandamaneni jamani.

Ritz Jagina Malaria 2 Adiosamigo tukitoka msikiliza Sheikh Kitinku leo tuandamaneni Serikali itoe tamko kuwakemea hawa Israel. Tena Ritz unakumbuka hawa Israel walihukumiwa kule South Africa? Unakumbuka zile threads ukionesha kuwa watafungwa muda si mrefu? Kumbushia wafungwe please. Wamezidi kwa kweli.
Yaani wewe unafurahia mtu kuuawa kwa kupigania haki yake ? Kwa akili hizi Wacha mama awatawale mitano tena, Hamna cha Dema wala cha Susu
 
Haikuwa drone,drone ilienda kupiga picha kumtambua,walipiga na kifaru,askari wake watatu wakafa,yeye hakufa,wakapiga kombora la kubeba begani,hakufa, sniper ndiyo akapiga kichwani,kwa maelezo ya israel
Jamaa kafa kishujaa sana nawashangaa hawa wanaocheka sijui wana akili gani
 
Back
Top Bottom