hahahaaa.. style za pagers hujaziona sio?kama staili ipi ya kitofauti na huko lebanon na gaza,khan yunus mbona hawapigani kwa staili nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa.. style za pagers hujaziona sio?kama staili ipi ya kitofauti na huko lebanon na gaza,khan yunus mbona hawapigani kwa staili nyingine?
we kichwa chako kina mawazo ya enzi za nyerere.. hujui huu ni ulimwengu wa kidigitalindio ukome kuparamia vitu usivyovijua.
Pole Mkuu....naona akili zako zime
Ndio maana nimekuuliza......Kuipata nchi hiyo ni kufikirika.....Kila vita mnaanza moja......Mwisho ni kama kama uliowafikia hawa....
View attachment 3130092
Mbona una frame swali lako kinyume....Iran ndi miaka yote inataka Israel isiwepo chini ya Jua......ndio Maana kuna Hmasa na Hezbollah.....
Poleni Mkuu.....Hii ndio destruction Gaza....Mlitaka wenyewe...
View attachment 3130132
Bado unashabikia watu waliowaingizq wapalestina kwenye vita isiyo na tija? Kwelii waislam hampendani , muislam anaona Bora MYAUDI mmoja kufa hata Kwa kupoteza roho za watoto , wanawake na Wazee wa Kiislam 1000 , hii Imani ni ya shetan , inajali vita kuliko amaniSinwar hakuuawa kwa shambulizi la ndege bali mortar,na wala hakuwa chini handakini bali sambamba na askari wake wakipambana na israel,waliporusha mortar wala hawakujua kuwa sinwar yupo hapo walipolenga
Kuna mjumbe wa mungu alibaka , kuteka watoto na kulipia sehemu za kijamii ?Mbona hata mitume wa Mungu waliuawa huko nyuma ndio ujumbe wa Mungu uliisha ?
s. The main facts indicated in the Lives are the following:
Micah: said to be of the Tribe of Ephraim. He suffered martyrdom by Jehoram and buried in his land
- Isaiah: said to be of Jerusalem, suffered martyrdom by being sawn in two by Manasseh (in agreement with the Martyrdom of Isaiah), buried near a place usually identified by scholars as the Pool of Siloam.
- Jeremiah: said to be of Anathoth (Jeremiah 1:1), suffered martyrdom by stoning at Tahpanhes in Ancient Egypt where he was also buried. It is said that who prayed with faith over the seer's grave is healed from asps bites. His remains were later moved to Alexandria. Before the First Temple was destroyed, Jeremiah hid miraculously in the rock the Ark of the Covenant.
- Ezekiel: said to be of Arira and to be of a priesthood family. He suffered martyrdom in the land of the Chaldeans and was buried in the grave of Shem and Arpachshad. A description of the grave is given. Same stories of Ezekiel in the Babylonian captivity are then narrated.
Zechariah ben Jehoiada (2 Chronicles 24:20–22): said to be of Jerusalem, he was killed by Jehoash near the altar of the Temple.
- Amos: said to be born in Tekoa (Amos 1:1), tortured by Amaziah (the priest of Beth-el of Amos 7:10) and martyred by the son of this one. He laid in his birth-land.
Listi ni ndefu nimekuletea hawa tu Kwa hivyo wayahudi ni kawaida wao kuwauwa watu wanaotetea dini ya Mungu
Tunaomba aman vita aijawai kuwa jawabu.lkn Israel ndio anadhani vita vitamaliza shida zake kwa ukosefu w amani mm siamini kupitia vita Israel atapata amani sio kweli bali moto utadhidi kuwaka kama ulivowaka kwamiaka 50 sasa apo chap atateuliwa mwengine ivyoivyo ata akifa nae wataweka mwengine kwani washakufa wangapi na awajawai kukosa kiongozi. Hamas itaendelea na vita itaendelea. Asi Israel akumbushuke shaka asubui kuwa alitakiwa achague amani waisrael wangapi wanazikwa na wataendelea kuzikwa uku wapalestina wakizikwa zaid.
Kuna mjumbe wa mungu alibaka , kuteka watoto na kulipia sehemu za kijamii ?
Israel aliposemq waqchie mateka na wakasema wao wanataka Israel aingie Gaza , ww ulikuwa hujazqliwa ? Hizbollah kaanza Lin kushambulia Israel ? mara zote Israel alikuwa akionya ila alipoanzq kujibu ndo mmeanzq kuona ubaya wa Israel , ila ubaya waliokuwa wanashambulia Kwa miez hamuon ubaya wao ? , Houth wamekuwa wanashambulia Meli za Israel Kwa muda gan ?
KIUFUPI jamii za Kiislam ndo chanzo Cha vita Dunia , wao wanajionq kama jamii daraj la kwanza na wengine kama vile sio binadamu
Waislam kuua watu wengine wanaona sw tu mf Somalia , Afrika ya kati , Syria , Lebanon , Iraq na hata Gaza kote huku wakristu wamefurushwa na waliobakia wameuliwa , nimekutana na waarab wakristo wanaumiq sn kuish mbali na nchi zao ila HAWAWEZ sababu waislam wanawabagua sn wakiwa kule uarabuni japo nao ni waarab
Bila ubaguz wa waislam , Dunia ungekuwa sehemu Salam sana , hata hapo Masharik ya kati kungekuwa na amani ila wao wanaona hako kaeneo ambalo hakafikii hata nusu ya mkoa wa Morogoro wanakata licha ya wao waislam Wana nchi zaid ya 40 Dunia ila hawataki kuwepo hata taifa moja la wayaudi
SIKU WAISLAM WAKIWAMALIZA WAYAUDI BASI WANAOFUATA NI WAKRISTO KISHA WAHINDU NA BUDHA , HII DINI HAITAKUJA KUCHA MIENENDO YAKE YA KIVITA
makombora ya jana yaliyopiga mpaka makazi ya natanyahu hukuyaona? je hivyo vitu vya pagers havikufanya kazi?hahahaaa.. style za pagers hujaziona sio?
usilete udini humu wapalestina wanadai haki yao na wapalestina sio wote waislamu,vipi wewe,soma historia vizuri kabla hujajamba pwa pwaaaaaaBado unashabikia watu waliowaingizq wapalestina kwenye vita isiyo na tija? Kwelii waislam hampendani , muislam anaona Bora MYAUDI mmoja kufa hata Kwa kupoteza roho za watoto , wanawake na Wazee wa Kiislam 1000 , hii Imani ni ya shetan , inajali vita kuliko amani
Ukiishi maisha wanayoishi wapalestina ni heri pawe na vita kola siku,msiofuatilia habari za palestine mnadhani hali huwa shwari tu na palestine ndiyo walioanzaBado unashabikia watu waliowaingizq wapalestina kwenye vita isiyo na tija? Kwelii waislam hampendani , muislam anaona Bora MYAUDI mmoja kufa hata Kwa kupoteza roho za watoto , wanawake na Wazee wa Kiislam 1000 , hii Imani ni ya shetan , inajali vita kuliko amani
kusema uongo haukusaidiinkitu,miki nimeishinhuko kwa miaka 3 nilifanya kazi kwenye shirika moja,wapelestina wanafai haki yao,wamenyeng'anywa ardhi,wananchinwao zaidi ya laki moja wamefungwa huko israeli kinyume na sheria,ndio maana wanapigania haki yao,kitu usichokielewa acha kupotosha,chukua muda kusoma historia utaujua ukweliUkiishi maisha wanayoishi wapalestina ni heri pawe na vita kola siku,msiofuatilia habari za palestine mnadhani hali huwa shwari tu na palestine ndiyo walioanza
Destruction ndiyo vitabu vyao vimeandika
Kill Nonbelievers
They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13 NAB)
Kill Followers of Other Religions.
1) If your own full brother, or your son or daughter, or your beloved wife, or you intimate friend, entices you secretly to serve other gods, whom you and your fathers have not known, gods of any other nations, near at hand or far away, from one end of the earth to the other: do not yield to him or listen to him, nor look with pity upon him, to spare or shield him, but kill him. Your hand shall be the first raised to slay him; the rest of the people shall join in with you. You shall stone him to death, because he sought to lead you astray from the Lord, your God, who brought you out of the land of Egypt, that place of slavery. And all Israel, hearing of this, shall fear and never do such evil as this in your midst. (Deuteronomy 13:7-12 NAB)
2) Suppose a man or woman among you, in one of your towns that the LORD your God is giving you, has done evil in the sight of the LORD your God and has violated the covenant by serving other gods or by worshiping the sun, the moon, or any of the forces of heaven, which I have strictly forbidden. When you hear about it, investigate the matter thoroughly. If it is true that this detestable thing has been done in Israel, then that man or woman must be taken to the gates of the town and stoned to death. (Deuteronomy 17:2-5 NLT)
Mbona hata mitume wa Mungu waliuawa huko nyuma ndio ujumbe wa Mungu uliisha ?
s. The main facts indicated in the Lives are the following:
Micah: said to be of the Tribe of Ephraim. He suffered martyrdom by Jehoram and buried in his land
- Isaiah: said to be of Jerusalem, suffered martyrdom by being sawn in two by Manasseh (in agreement with the Martyrdom of Isaiah), buried near a place usually identified by scholars as the Pool of Siloam.
- Jeremiah: said to be of Anathoth (Jeremiah 1:1), suffered martyrdom by stoning at Tahpanhes in Ancient Egypt where he was also buried. It is said that who prayed with faith over the seer's grave is healed from asps bites. His remains were later moved to Alexandria. Before the First Temple was destroyed, Jeremiah hid miraculously in the rock the Ark of the Covenant.
- Ezekiel: said to be of Arira and to be of a priesthood family. He suffered martyrdom in the land of the Chaldeans and was buried in the grave of Shem and Arpachshad. A description of the grave is given. Same stories of Ezekiel in the Babylonian captivity are then narrated.
Zechariah ben Jehoiada (2 Chronicles 24:20–22): said to be of Jerusalem, he was killed by Jehoash near the altar of the Temple.
- Amos: said to be born in Tekoa (Amos 1:1), tortured by Amaziah (the priest of Beth-el of Amos 7:10) and martyred by the son of this one. He laid in his birth-land.
Listi ni ndefu nimekuletea hawa tu Kwa hivyo wayahudi ni kawaida wao kuwauwa watu wanaotetea dini ya Mungu
unajua msumbiji ilitawaliwa na wareno miaka 400,lakini ilifika siku ikawa huru,basi na wewe tuliza makalio ipo siku
Drone ilitumwa baada ya jengo kuwa limepigwa bomu na kifaru, hapo Yahya akiwa tayari kesha jeruhiwa vibaya kavunjika mkono wakulia na mguu kitendo cha kujaribu kuipiga drone kwa fimbo akitumia mkono wa kushoto kimemchora kwa watu wake kama kiongozi shujaa, shahidi aliyepigana mpaka tone la mwisho la uhai wake, Waisrael wamebugi kuachia ile fotage ya drone ni bonge la promo kwa mwendazake.
kama hujui historia funga hilo bakuli lako hizbollah na hamas hazikuanzishwa na irani,mavi we
🥰🥰🥰 dini inawaaminisha usinzi tu!Mkuu jamaa anafaidi mabikira sasa hivi! Dini hii tamu sana!