fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
matusi yako wapi hapo? jazba iko wapi hapo? hata lugha pia hujui?Hiyo jazba na matusi ya nini.....Unajua historia wewe! Kweli kuna kazi....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matusi yako wapi hapo? jazba iko wapi hapo? hata lugha pia hujui?Hiyo jazba na matusi ya nini.....Unajua historia wewe! Kweli kuna kazi....!
sasa sikia hapo dininiko wapi? kwani hujui kuwa wapalestina sio wote waislamu? hapa ni wapalestina wanapigania haki yao ya kuzaliwa,nakushauri kabla hujaandika kitu jifunze historia kwa makini,utaupata ukweliMkuu naomba nikuambie kwa sauti tulivu! Hao watetea dini kwa kivuli cha Uislamu hawana lolote! Tunza maneno yangu, na uwarithishe wajukuu zako.....Hakuna lolote lile watakalofanikiwa! Sio miaka 400 tu hata Elfu moja.....Hiyo jabza ya dini haiwafikishi popote pale!
matusi yako wapi hapo? jazba iko wapi hapo? hata lugha pia hujui?
sasa sikia hapo dininiko wapi? kwani hujui kuwa wapalestina sio wote waislamu? hapa ni wapalestina wanapigania haki yao ya kuzaliwa,nakushauri kabla hujaandika kitu jifunze historia kwa makini,utaupata ukweli
funga bakuli ni matusi?funga bakuli ni jazba,hicho ni kiswahili na nikitumia fungu maneno funga bakuli,njoo nikufundishe kiswahili kama pia hukijui broNadhani sijui lugha....
fimboyaukwaju said:
kama hujui historia funga hilo bakuli lako hizbollah na hamas hazikuanzishwa na irani,mavi we
funga bakuli ni matusi?funga bakuli ni jazba,hicho ni kiswahili na nikitumia fungu maneno funga bakuli,njoo nikufundishe kiswahili kama pia hukijui bro
mimi bro nimeishinhuko miaka 4 nimefanyakazi shirika moja la haki za binaadamu la israeli linaitwa bethlem ambalo lilikuwa na programu gaza,jenin na jerusalemKweli mitandaoni kuna vitikuko....Unajua Historia ya Wapelestina wewe...!
hujui lugha bro,funga bakuli sio matusi,mavi sio matusi,soma kamusi kuu ya bakita,itakupa tafsiri ya hayo maneno,fanya jitihada ya kujifunza,utaelewa usilazimishe maneno kuwa matusi,jifunze kwanzqFunga bakuli lako....mavi...! Sio matusi mkuu....umenifundisha jambo jipya! Kwa lugha hii unajua wazi unawasiliana na mtu wa namna gani.....Hii ndio Jamii Forum!
Please! Nani kakuambia mimi ni Mkristo! Natoka katika familia yenye mchanganyiko wa dini nyingi! Lakini hoja yetu hapa si dini! Ni Hawa magaidi wanajifanya wapigania uhuru, Hamas/Hezbollah.....Unaona msukumo wa Quraan na kueneza Uislamu....Hakuna chochote!
vita ya wapalestina ni vita ya kupigania haki,sio ya kidinikama umekuwa si mkristo umekuwa myahudi mweusi ??
Alikuambia Nani?vita ya wapalestina ni vita ya kupigania haki,sio ya kidini
kutambua haki ya mtu sihitaji kuambiwa na mtu,pili unajua kuna maazimio mangapi ya umoja wa mataifa yamepitishwa kueleza kuwacwapalestina wameonewa?Alikuambia Nani?
Hivi hujawasikia wayahudi na baadhi ya wakristo wakitamka kuwa hiyo ni ardhi walipewa na Mungu ?kutambua haki ya mtu sihitaji kuambiwa na mtu,pili unajua kuna maazimio mangapi ya umoja wa mataifa yamepitishwa kueleza kuwacwapalestina wameonewa?
Huyo ni Mungu gani,ambae hutoa ardhi kwa taifa fulani pekee?Mungu gani ni dhulumati?Hiyo riwaya ameiandika nani?Huu ni uongo wa waziwaziHivi hujawasikia wayahudi na baadhi ya wakristo wakitamka kuwa hiyo ni ardhi walipewa na Mungu ?
Umoja wa Mataifa ni changa la macho tu kuwa danganya waislamu, mbona maazimio ya Libya, Iraq waliyatekeleza? Wanashindwa nini na Israel?
Sawasawa lakini ndio maneno yao akina cassavaleaves na wenzakeHuyo ni Mungu gani,ambae hutoa ardhi kwa taifa fulani pekee?Mungu gani ni dhulumati?Hiyo riwaya ameiandika nani?Huu ni uongo wa waziwazi
Sawasawa lakini ndio maneno yao akina cassavaleaves na wenzake
View: https://youtube.com/shorts/h8VOcNzkkGY?si=sJMHLm3CwX2zpLCa
Mbona unabwatuka!?Wewe ni nani kwa israel kupanga idf ifanye vile wewe unataka? Eti unataka kuona wafanye hivi ama vile. Direction ya vita iko chini ya makamanda wa idf, Wewe utabaki hapahapa jf utapata taarifa za furaha na huzuni ya kinachoendelea kupitia Al-Jazeera na mitandaoni kisha kujadili na wana jf hapahapa.
makombora yalikua mangapi?makombora ya jana yaliyopiga mpaka makazi ya natanyahu hukuyaona? je hivyo vitu vya pagers havikufanya kazi?
Hili jambo tulishalizungumzia humu hakuna mahala Hamas au Hizbollah wanatumia raia kama ngao HUU UONGO ICJ WALISHAUWEKA WAZI.cha kwanza israel harushi mabomu kwenye makazi ya raia, bali magaidi ndo wanawatumia raia kama ngao uliwata wawaache?
Nikisema we FALA NA MPUMBAVU NAKOSEA!??wewe umeongelea raia wa iran.. kufanyiwa shambulizi kwenye ubalozi wako nini? walikufa raia pia sababu jengo lotw lilivunjwa
kisasi ubachoongelea ndo yale makombora hewa au mengine? chizi kwel wewe yan mi niue raia wako alaf wew unaenda kurusha vikombora hewa?
israel inaua majenerali wa juu kabisa achia mbali hivo viwanamgambo uchwara vinauliwa kama kuku wenyeww ndo wakubahatisha ndo wanaua wanajeshi kumi wa israel kuna uwiano kweli hapo?
Hakuna media ambayo ilifungwa usitufanye sisi watoto hapa.shambulio la isfahan lilifanikiwa ila iran ilizima media zote ili ukweli usijulikane
Mbona unabwatuka!?
Utake usitake kitendo cha Iran kurusha makombora Israel ni sawa na kutangaza full out war.
Kitendo kinyume na hiko kitakua ni cha kioga tu na chepesi.