The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hivi,hizo stori huwa mnadanganywa na nani?Aisee!Very cheko!🫸🫷😜😜😜😜😜😜😜😜Hapa Trump akij8changanya atapigika kama ngoma kashindwa na kikundi cha wa houthi aje kumuweza iran 🇮🇷
Mbona kila anasema ataipiga Iran ila haipigi Kam kidumeHivi,hizo stori huwa mnadanganywa na nani?Aisee!Very cheko!🫸🫷😜😜😜😜😜😜😜😜
Muda ukifika utajionea wenzako wanavyopanua midomo kwa juhudi na kupayuka .."free Iranians"...!Mbona kila anasema ataipiga Iran ila haipigi Kam kidume
Unahisi kila sehem ni Gaza auMuda ukifika utajionea wenzako wanavyopanua midomo kwa juhudi na kupayuka .."free Iranians"...!
Ilianza Iraq wakaja Afghanistan,Libya na baadaye Gaza.Subiri ya Iran.Unahisi kila sehem ni Gaza au
Ok acha inyeshe tuone panapovujaIlianza Iraq wakaja Afghanistan,Libya na baadaye Gaza.Subiri ya Iran.
Aseme mara ngapi!?mbona nyinyi ndio mnampigia magoti sasa!?Aseme moja:Atatoa ushirikiano au ataleta deko na ndevu zake ili apewe chai!?
Nani aliweza kumpa Iran chai!?Aseme moja:Atatoa ushirikiano au ataleta deko na ndevu zake ili apewe chai!?
Kama walishindwa kuanzia 1980-1988 kipindi Iran Ina jeshi dhaifu la mapinduzi wataweza sasa hivi Iran ikiwa na jeshi imara!?Muda ukifika utajionea wenzako wanavyopanua midomo kwa juhudi na kupayuka .."free Iranians"...!
Huyo Israel anapewa Hizbollah apapatuane nao.Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha urani.
Hatujui iwapo yatasababisha mafanikio yoyote. Hatujui kitakachotokea, Ayatollah Ali Khamenei alisema.
Rais wa Marekani Donald Trump alisema wiki iliyopita kwamba Iran walikuwa na“aina ya” ya makubaliano kufuatia duru nne za mazungumzo yaliyopatanishwa na Oman tangu tarehe 12 Aprili.
Lakini kabla ya kufanyika kwa duru nyengine ya mazungumzo yanayotarawa wikendi hii, , Mpatanishi Mkuu wa Iran amekataa madai ya mwenzake wa Marekani kwamba italazimika kujitolea kuacha kuzalisha urani iliyorutubishwa, ambayo inaweza kutumika kutengeneza mafuta ya kinu cha kuzalisha umeme lakini pia silaha za nyuklia.
Trump, ambaye aliiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 kati ya Iran na mataifa yenye nguvu duniani katika muhula wake wa kwanza madarakani, ameionya Iran kuwa inaweza kukabiliwa na mashambulizi ya kijeshi kutoka Israel na Marekani iwapo mazungumzo hayo hayatafanikiwa.
Iran inasisitiza kuwa shughuli zake za nyuklia ni za amani kabisa na kamwe haitatafuta kutengeneza au kupata silaha za nyuklia.
Hata hivyo, imekiuka vikwazo vilivyowekwa na mkataba uliopo wa nyuklia ili kulemaza vikwazo vya Marekani vilivyorejeshwa miaka saba iliyopita, na imekusanya madini ya urani yenye thamani kubwa kutengeneza mabomu kadhaa
USA akiona muda wa kupiga IRAN umefika basi muda wa kupigwa yeye pia utakuwa umefikaMuda ukifika utajionea wenzako wanavyopanua midomo kwa juhudi na kupayuka .."free Iranians"...!
Umenena mkuuHuyo Israel anapewa Hizbollah apapatuane nao.
Huyo Marekani kambi anazozitegemea middle east zitashughulikiwa na Houthi kabla hata Iran haijaanza retaliation.
Hakuna mwenye ubavu kwa Iran hapo.
Watu huongea kwa mitazamo mifupi sana.Umenena mkuu