EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Naona picha ya mfiraji mwenzake ukutani
HOIIIIIIIIIII..... BABAAAAKE KUKAA SHIMONI NA WASIWASI KUNACHOSHA SANA.Wanakumbi.
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran kusitisha mapigano na Israel.
Habari za kutolewa kwa ujumbe huo zilianza kumiminika kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya serikali ya Iran, kabla ya ujumbe wake kutangazwa kwa ukamilifu saa nane na dakika 35 swa na saa saa za ndani (7:35 kwa saa za Afrika ya Mahsariki).
Haya ndio yamejiri kuhusu hotuba yake:
Katika hotuba iliyotangazwa na runinga ya serikali Khamenei anasema "hakuna jambo la maana" lililotokea kwenye maeneo ya nyuklia yaliyopigwa na Marekani mapema wiki hii, matamshi ambayo yanapinga moja kwa moja matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba mpango wa nyuklia wa Iran "umefutwa"
Kiongozi wa Iran anasema nchi yake ilionyesha umoja wake, na kutuma ujumbe kwamba "watu wetu ni sauti moja"
Khamenei anasema Trump aliitaka nchi yake "kujisalimisha" lakini maoni yake yalikuwa "makubwa sana kutolewa kwa mdomo" wa rais wa Marekani
"Kwa nchi kubwa na taifa kama Iran, kusema ijisalimishe ni tusi," anaongeza
Kiongozi wa Iran pia alitishia kufanya mashambulizi zaidi katika kambi za Marekani katika eneo na kuongeza: "Iwapo shambulio litatokea, gharama kwa adui na mchokozi itakuwa kubwa."
Hapo awali, katika machapisho yaliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, Khamenei alisema Iran "iliipiga kofi zito usoni mwa Marekani" katika shambulio lake katika kambi ya Marekani nchini Qatar. Hakukuwa na majeruhi kutokana na shambulio hili
Pia alitoa pongezi mara kwa mara kwa kile alichokitaja kuwa ni "ushindi" wa nchi yake dhidi ya Israel
Maoni yake yanakuja siku mbili baada ya usitishaji mapigano uliomaliza vita vya siku 12 kati ya Iran na Israel. Mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran yamewauwa takriban raia 627, kulingana na wizara ya afya ya Tehran. Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel yaliwaua watu 28, kama ilivyoripotiwa.
SOURCE 👇🏽
Iran would respond to any future U.S. attack by striking American military bases in the Middle East, Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei said on Thursday Source: The Citizen Supreme leader, in first appearance since ceasefire, says Iran would strike back if attacked
HOIIIIIIIIIII..... BABAAAAKE KUKAA SHIMONI NA WASIWASI KUNACHOSHA SANA.
View attachment 3385414View attachment 3385415
The US President said Israel was hit “very hard” by Iranian missiles during the recent hostilities, speaking at the leaders'
Kama haijabonda makazi ya watu vifo vimefikaje 600+ mbona vingi sanaNdio niko mafinga, huyo Mzee yuko wapi?
Alafu mimi katika vita yoyote huwa naamini kuna hasara lazima ipatikane, hata wakati Mfalme Daudi akienda vitani walikuwa wakipoteza, ila mwisho ushindi ni kwao.
Kama Israel ingeamua kubonda majengo ya Raia huko Iran mbona hiyo ndo ilikuwa kazi rahisi zaidi?
Tatizo unajipooza machungu kwa kujifariji na uharibifu uliotokea Israel badala ya kushughulika na hasara zenu hizo
Sawa ona ndugu zako wanaenda utumwani upya uko Misri !!!! Iran ni MOTO Tramp kapima uzito kaona hapana Israel inaenda kutoeka mazima.. Ona vile ujawai ona ukubwa wa tatizo.. waisrael wanakimbia kifo kwao.HOIIIIIIIIIII..... BABAAAAKE KUKAA SHIMONI NA WASIWASI KUNACHOSHA SANA.
View attachment 3385414View attachment 3385415
Kabisaaa mana ata sasa Vita imesimama lkn wanaondoka utazan Vita inaendelea na Iran !!!Tuaminishwa ujinga mwingi sana hawana lolote Iran, kapigana na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani. Israel, India.
Marekani isingeingilia ugomvi huo. Zile ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wangeikimbia nchi yao wote.
Objective ya Israel na Trump ilikuwa moja tu.. KUHARIBU NYUKLIA ZA IRAN. NDO. TISHIO LILIKUWA HAPO. HAYO MENGINE HAYANA MADHARA KWA ISRAEL. ISRAEL AMEFANIKIWA KUHARIBU NYUKLIA NA WANASAYANSI HUSIKA. NDANI YA IRAN.Sawa ona ndugu zako wanaenda utumwani upya uko Misri !!!! Iran ni MOTO Tramp kapima uzito kaona hapana Israel inaenda kutoeka mazima.. Ona vile ujawai ona ukubwa wa tatizo.. waisrael wanakimbia kifo kwao.
Iran imefungua moja ya vichuguu katika eneo lake la chini ya ardhi katika kituo cha kubadilisha uranium cha Esfahan.Objective ya Israel na Trump ilikuwa moja tu.. KUHARIBU NYUKLIA ZA IRAN. NDO. TISHIO LILIKUWA HAPO. HAYO MENGINE HAYANA MADHARA KWA ISRAEL. ISRAEL AMEFANIKIWA KUHARIBU NYUKLIA NA WANASAYANSI HUSIKA. NDANI YA IRAN.