Izizimba
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 143
- 382
Salaam,
Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini?
Najiuliza maswali mengi sana.
1. Yawezekana hana mamlaka kamili au kuna watu wana power kumzidi.
2. Yawezekana ana huruma sana anaona kama akichukua hatua ataumiza watu.
3. Yawezekana anaogopa chuki na fitina za kisiasa.
4. Yawezekana hana uwezo ni Incompetent to hold the office.
5. Kuna mambo mengine anafanya vizuri lakini suala la yeye kulalamika lina zua maswali mengi.
6. Guys huu ni mtatazamo wangu tu kama una mawazo tofauti unaweza kunielewesha.