SI KWELI Kiongozi Mkuu wa North Korea asilimu kuwa Muislam

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hahaha nimeona pale juu JamiiCheck wamekanusha.

Nimejaribu kuwaza may be ali-convert kwa siri akiogopa wananchi wake kumuona dhaifu na kigeugeu kukubali dini za kigeni?
 
Hahaha nimeona pale juu JamiiCheck wamekanusha.

Nimejaribu kuwaza may be ali-convert kwa siri akiogopa wananchi wake kumuona dhaifu na kigeugeu kukubali dini za kigeni?
Kimya kimya mkaipata ninyi tu ila wananchi wake hawajui!!
 
Kuna mjadala mkubwa Sasa hivi huko Uingereza, Kuna wanaosema hata Mfalme Charles amekuwa Muislam na Kuna wanaokataa.

Wewe unasemaje kuhusu Hilo?
Ukiona uzi wako umeletwa Jamiicheck jitafakari
 
Hapana, hata nje ya YouTube zipo habari.

Sema hili ni pigo kubwa kwa media za kizayuni na Magharibi, hutoliona likisemwa sana.
Kwani wewe mama mpaka sasa hujajua kama hizo ni picha za kutengenezwa?

Maana JamiiCheck wamesema siyo,unadhani wewe upo kwenye fani ya uandishi na ufuatiliaji habari kuwazidi wao?hao wazayuni na wamagharibi itawaumiza nini wakilisema?
 
Sasa kama sio kweli Kwann uzi upo mpaka leo hii, c ufutwe
 
Kuna mjadala mkubwa Sasa hivi huko Uingereza, Kuna wanaosema hata Mfalme Charles amekuwa Muislam na Kuna wanaokataa.

Wewe unasemaje kuhusu Hilo?
ww BINAFSI ff kusilimu Kwa kiduku kumekusidia Nini??
Kama Mimi mkamua ngama nimepata tenda tarajiwa Alhamdulilah!👐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…