Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Pale ME msumbufu ni Iran akiondolewa huyo kila kitu kinakuwa sawa
 
Wale ambao huaga mnadhani Israel ana kisasi na Waislamu na Uislam I think akili zitaanza kuwaijia sasa; kama mkuu wa majeshi wa Iran ilikuja kujulikana baadae kwamba ana damu ya Kiyahudi while kwa sura anaonekana ni mwarabu, then why isihisiwe hata huyu kiongozi mpya nae ni Myahudi? Kwa taarifa tu, miaka mingi kabla ya Kristo, hasa baada ya mfalme Suleman kufariki na mwanae ku take over as the king of Israel, makabila 10 out 12 ya Israel yali shift to Samaria na kuweka makao makuu yao mji wa Damascus, ikimbukwe kipindi kama hicho hicho wengine walihamia Kushi, Samaria ndio Syria ya leo while Kushi ndio Ethiopia ya leo, wale wa Samaria/Syria bila shaka nao ni Waislamu kama walivo Waarabu wengine, na mkeka wa Sala 5 wanapiga kawaida kama wewe the prince Ritz. Wakati waislam wa kwa mtogole mnawalaani mayahudi, hayo hayo mayahudi yapo mengi tu maislam menzenu. Historia ya middle east ni mtihani sana. Nimefanya kazi Saudia for about 2 years, niliambiwa na wenyeji kwamba wenyeji wa mji wa Madina kwa asili walitokea Syria, tabia zao wale jamaa wa Madini ni wapole sana; who knows, it might be nao wana damu ya kina Netanyahu vile vile. Kama kuna kitu kina waunganisha jews, basi ni damu na ardhi yao. Mambo ya kidini ujinga huo tunao sisi huku, wao wanaweza kukaa mega moja Waislam, Wakristo (messianic believers) Judaism na hata Atheists na wakapanga mipango against ma adui zao. Is very interesting. Huku kwetu, kiongozi akiwa wa dini yako then unaweza kusariti hadi kabila lako, stupid
 
Hii nchi haiwezi kutulia Waarabu kua na aman na israel haiwezekani hana mda mrefu uyu
 
Back
Top Bottom