Haki ya Mungu hammjui Mbowe nyie- subiri apande kizimbani atoe alichonacho kisha adodoswe ndiyo mtajua huyo si mtuTuliowengi tunamtetea Mbowe na wenzake,hata kama hatuko mstari wa mbele tunapiga makombora ya masafa marefu.
watu wake watafungwa mbele ya macho yake huyo man of the matchKibatala ni man of the match, hawezi kuwa mwepesi namna hiyo
Mjiandae kuchagua mwenyekiti mwingine wa chama. Ila kwa chama chenu sishangaiKwa kuwa Kesi ni ya Michongo......
Jaji ni wa michongo......
Mawakili ni wa michongo.........
Na mashahidi wote wa Jamhuri, nao ni wa michongo.
Let's wait and see, time will tell
Na tumebutua kweli kweliTuliowengi tunamtetea Mbowe na wenzake,hata kama hatuko mstari wa mbele tunapiga makombora ya masafa marefu.
Unajua methari ,wapi nime wafananisha na nyani ? Mfano mtu akiwa nanasema wewe "UMEUGUA UGONJWA ALIO UGUA MARIAMU " JE hapo kakufananisha na mwanamkeKuwafananisha waTz wenzio na nyani ni zaidi ya ujinga bali ni upumbavu kabisa
Katiba angetuletea JPM ila tatizo lenu amkumwelewa ,ila hawa wahuni wa msoga hata wakileta latiba ujue itakuwa ya kihuni kama hii tuPole sana. Porojo hizo labda ukawapelekee wenzio mnaoendelea na zamu za kufagilia na kulinda kaburi la Babeli mkuu huko Burigi.
KATIBA MPYA yaja haikwepeki.
Hahaaaa , hatareeeeeeeMahakama ya Tanzania Haina ubavu wa kumuita raisi aliyeko madarakani kizimbani narudia tena Haina ubavu huo.
Raisi ni muhimili uliojichimbia sana kuliko yote.
Hii mihimili mingine Bunge/Mahakama ni vivuli tu vya Serikali.
Ndio maana Serikali ikisikia neno"katiba Mpya" inashikwa na tumbo la kuendesha!