Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Huijui serikali vizuri mzee, Mbowe ni takataka tu, Aliuawa MKURUGENZI WA TAIFA MSTAAFU KISA KUMSHABIKIA MREMA, SEMBUSE HUYO CHIZI WENU MAKENGEZA MBOWE?? Hivi nyie mkisikia SERIKALI ina mkono mrefu huwa mnaelewa nini??
Sasa shida yako kitu gani wewe? Wanakunyandua hapo? Anayehangaika kuhusiana Mbowe atoke au asitoke huko jela kwa sasa ni nani? Hiyo MIKONO MIREFU imekatika now? Shenzi zako we kijana.
 
Mshauri wa SSH alipewa na Kikwete, mshauri wake kama sikosei alikuwa/anaitwa Togolani jina kama sikosei. Huyo sio mshauri bali anakuwa ndiye anapewa maelekezo ya kumwambia SSH cha kufanya, Aibu! Waliiba enzi yao alipokuja JPM wakafilisika sasa wanakomba kila kitu. Watanzania tutajijua wenyewe.
 

Mbona Chadema wamesema kuwa kwa muda mrefu majadiliano yamekuwa yakiendelea kuhusu kuachiwa kwa Mwenyekiti wao? Lissu alisema kuwa kabla ya mkutano wa Dodoma waliongea na Warioba na Butiku kuhusu jambo hili. Wao siku zote wanapinga kuachiwa Mwenyekiti wao kwa masharti, hili liko wazi. Mnyika kuongea na uliowataja hakubadilishi jambo.

Amandla...
 

sorry....u are lagging too far behind, unfortunatelly Mbowe and Mnyika they are well informed and well understand how it works....cheers
 

hapo kwenye kijiwe cha kahawa waambie wakuongeze kikombe
 

..hapo umedanganya.

..Togolani Mavura ni balozi wa Tanzania South Korea.

..alikuwa msaidizi wa waziri wa mambo ya nje, na muandishi wa hotuba wa raisi, ktk awamu ya 4.
 
Mkuu Davesto , kwanza asante sana kwa taarifa hii.
Kwa vile hii ni C&P toka kwa Jasusi Chahali, kama ulivyoonyesha kwenye heading, ulipaswa kuonyesha the same kwenye contents kwa ku mention the source. Kutumia materiál yoyote ya C&P bila kutaja source ni wizi tuu kama wizi mwingine wowote.
Always give credits where it's due.
P
 
Acha kumtukana Rais wewe Pumbavu
 
Kiafrika huwezi kuongoza taasisi kubwa na yenye maadui wengi kama CHADEMA au CCM na usifanye crimes. Endapo ikiamuliwa kabisa kufanya upelelezi wa kitaaluma jinai zote kubwakubwa kama utakatishaji fedha,uhujumu uchumi,murder,ugaidi nk hazikosekani kwa viongozi hawa. Hii ndiyo hali halisi

Nachoona,serikali itaweza kuithibitisha mahakama makosa ya Mbowe na atafungwa kifungo kirefu. CDM itaelekeza nguvu zake zote kwenye kesi na kusagau kampeni!

Mimi naona Zitto Kabwe alikua sahihi kwa ombi lake. Hata hizi movement za Mnyika naziunga mkono hasa kwa sababu wamegundua Kibatala hatoweza kumnusuru Mbowe! Huo ndio uhalisia ndugu wana CHADEMA!
 
Jiwe Yuko wapi Siku hizi? sijamsikia siku nyingi Sana.
 
Ushauri wangu kwa Mh. Raisi, futa kesi zote zenye muelekeo wa kisiasa, wawajibishe watendaji wote walioziunda. Weka maridhiano na vyama vya siasa, rudisha upendo kwenye jamii.

"Maisha ya mwanadamu ni hadithi, kuwa hadithi nzuri kwa wale watakao simuliwa" Ali Hassan Mwinyi.
 
Hizi habari naziona mezani kuwa umezitunga vizuri sana.Mwenye nia ya kufanya jambo kwa mfano mtawala yeyote muungwana, hakunaga kurudi nyuma.Ni mbele kwa mbele. Na kama yupo wa hivyo, huyo sio mtawala ila yupo anayemsaidia kuongaza kimya kimya.Tena sasa na yeye anaongozwa sio anaongoza tena.
 
"Lini Pandora Box litafungwa kuhusu Kuleta ushahidi ambao Una mapungufu Kila siku Mahakamani?
Sheria ziliundwa kwa jili ya Nini sasa Kama Hazifuatwi, Sheria inasema ushahidi uwe hivi lakini wao hawafanyi hivyo.."- Kibatala
 
Mbowe hana hatia akiachiwa kwa style yoyote iwayo bado hana na hatakuwa na hatia. Sanasana dunia itatafsiri kwamba serikali imejinasua. Full stop.
Vyovyote vile iwavyo ndiyo inajinasua na vikwazo kutoka kwa wenye nguvu duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…