Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Hii kesi kuna watu hawatajwi lakini wamehusika Kwa kiwango kikubwa kuiframe na kuwaachia Mbwa wa mitaani kina Kingai waingie kichwa kichwa. TISS ndo waundaji wa kesi hii Ila wanajifanya kukaa pembeni. Diwani Athman anajua vizuri chanzo cha huu ujinga.
 
Sasa huko ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Cha msingi mahakama itende haki
Kwamba ww ukienda kufuta case uliyofungua unakua umeingia Uhuru wa mahakama?? Kwamba hujui hata nani kafunga case ?? Hujui DPP n nani?? Aisee

And 2021 is draw to close alafu kuna mtu hatak jifunza kujua how this things work

DPP ndie anaefungua hiz case na muda wowote anaweza amua achana nayo
 
Lema anasemaje kule SPACE na kundi lake la Mchongo.
 
Kwa mujibu wa katiba DPP hapaswi kuchukua amri kutoka kwa mtu yeyote afanyapo majukumu yake.

Ukiona watu wanataka rais amwagize DPP afute shauri fulani basi kimsingi wanakuwa wanataka rais avunje katiba
 
Wanataka kuficha aibu yao,ili Mbowe akiachiwa waseme kuachiwa kwake kunatokana na maombi ya viongozi wandamizi wa CHADEMA,wakati kila mtu anajua kuwa kesi ya ugaidi kwa Mbowe na wenzake ni mchongo wa Ikulu na mahakama isipoingiliwa kuna watu wanakwenda kuaibika.
 
Chahali ni Team Kikwete , yuko kundi moja na Steve Nyerere , alikuwa ana ugomvi na Magufuli tu kama Mange
Mkuu mbona unaongea kitu dhahiri?

Negate your proposition, JPM maimed, wasiojulikana, kubambika kesi za uhujumu uchumi, watu kuporwa fedha zao benki na Bureu de Change, wafanyakazi zaidi ya 4000 kufukuzwa eti hawana vyeti, upendeleo wa kikabila, miradi isiyo na tija kama Chato Airport, kupotea kwa 1.5trillion.

Sasa tuambie, nani alikuwa upande wa JPM?
 
Uko sawa kabisa.
 
Kwa mujibu wa katiba DPP hapaswi kuchukua amri kutoka kwa mtu yeyote afanyapo majukumu yake.

Ukiona watu wanataka rais amwagize DPP afute shauri fulani basi kimsingi wanakuwa wanataka rais avunje katiba
Kwahiyo watu ambao hua wanamfuata DPP na anawafutia Case Hua anakua amechukua amri kwao ??

Unawaza kama mtoto wa vidudu

Rais yeye hawezi shauriana na mteule wake?? Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23] kuna baadhi ya watu hivyo vichwa vyenu sijui hua mnabeba nn

Yeye ww uliichona ni amri tu ila hujui kwamba watu wanaweza shauriana na jambo likafanyika
 
DPP hafungwi na ushauri hata wa rais, Kwa mujibu wa katiba yeye ana mamlaka kamili ya kuamua kuendelea na kesi au kuifuta kulingana na anavyoiona imekaa kisheria.

Sasa nyie kushinikiza rais amwamuru DPP afute kesi, kimsingi mnampa shinikizo lililo kinyume cha katiba. Kumbuka yule aliapa kulinda katiba!

Kama mnadhani mna hoja za kumshawishi DPP afute kesi, basi nendeni na facts zenu ofisini kwake mkapresent! . Msitake kupitia mlango wa nyuma
 
Toa ushahidi kama sio mbinu zenu chafu za kuwavuruga cdm
 
Umekua kipofu au kusoma hujui ? Wapi umeona mtu yeyote kashinikiza jambo lolote??


Kushauriana ni kushinikiza?? Na kwann hutaki case ifutwe?? Hao watu kukaa ndani unafaidika kitu gani?? Kwahiyo rais akisema achieni hao watu ,kwamba DPP atagoma ? [emoji23][emoji23]


Acheni ushetan, iwe kwa kufuata sheria kupindisha vyovyote vile MBOWE na wale jamaa watatu wanatakiwa waachiwe

Hakuna sehem yeyote ambayo rais hatii mguu , endelea kuishi ndoton , iwe imeandikwa au haijaandikwa rais akisema achien huyo mtu au achaneni na hiyo case haitopita 30 minutes utawaona nje
 
Wanapitaje mlango wa nyuma na mshaanza kukiri mwenyewe Mbowe siyo gaidi?. Acheni upuuzi wa kuonea watu Basi.
 
Nyie si ndo mnamtaka Samia afute kesi?

Sasa mmebadilisha mnasema Samia akamshauri DPP afute kesi?

Well, ushauri huo kampeni DPP nyie wenyewe!, maana hata Samia akimshauri DPP bado DPP kwa mujibu wa mamlaka yake bado anaweza kuukataa vilevile
 
Huijui serikali vizuri mzee, Mbowe ni takataka tu, Aliuawa MKURUGENZI WA TAIFA MSTAAFU KISA KUMSHABIKIA MREMA, SEMBUSE HUYO CHIZI WENU MAKENGEZA MBOWE?? Hivi nyie mkisikia SERIKALI ina mkono mrefu huwa mnaelewa nini??
Unajisifia upumbavu tu. Mbona hamjamsaidia nyerere.mkapa na Magufuri wasife.na ulivyo mwehu unajisifia kuuwa kutesa na manyanyaso. Mngekuwa na akili mngejifunza kuunda vitu.magari,ndege,simu, kwenda .mwezini. wazungu wanajua nyinyi Ni mabogasi wanawafundisha kutesa watu na kuuwa ndiyo vitu mnavyoweza kufundishika kirahisi sababu wanajua haya majitu majinga. Mkono mrefu undeni hata satellite alafu mzipandishe angani huko tuuone huo mkono mrefu. Acheni kujisifia kutesa na kuuwa na manyanyaso vitu ambavyo hata PAKA anafanya kwa PANYA NA ANAMLA KABISA
 
Mama afute hii case inamchafulia cv yake mno
 
na mkicheza anafungwa hivyohivyo kimchongo mwenzenu ateseke nyie na uenyekiti mumnyang'anye
 
Ukiwa hapo ufipa huwezi kujua nani alikuwa upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…