Hivi walidhani wale wazungu wanatania? Yaani walivyo wajinga waliona EBU parliement wanavyoongea kwa utulivu na sio kama Bunge la akina Msukuma na Gambo wanaongea kwa kupayuka na varangati juu wakadhani imeisha.EU wanakuja na Spana Tani arobani hakuna namna ni kunyoosha mikono juu....
Sasa ulitaka tuje tuoe wababa hapo ufipa?
una laana si bureHuijui serikali vizuri mzee, Mbowe ni takataka tu, Aliuawa MKURUGENZI WA TAIFA MSTAAFU KISA KUMSHABIKIA MREMA, SEMBUSE HUYO CHIZI WENU MAKENGEZA MBOWE?? Hivi nyie mkisikia SERIKALI ina mkono mrefu huwa mnaelewa nini??
Kuna kitu kinaitwa "capital letter". Kuna tofauti kati ya "l" na "r". Mwisho, katika jamii yetu wazee ni watu wa kuheshimiwa na sio kubezwa. Mtu mzima akitaka kuongea na wewe, si rahisi kumkatalia.hawa chadema sometimes ni wa ajabu Sana . sasa unahangaika kwa wastaafu sijui kikwete. Mara kinana Mara warioba kuwaambia mbowe hana hatia. Harafu inatokea chance Kama ya juzi ya kuonana na mtesi wao wanasusa mkutano . hivi mfano chadema wangehudhuria juzi harafu wakayaongea hayo mbele ya rais huoni kuwa wangekuwa wamefanya jambo la maana zaidi. Sasa wanahangaika na wazee sijui akina mangula , butiku waende wakamwambie rais aifute kesi . rais huyohuyo akitaka kuonana nao ili asikilize malalamiko yao uso kwa uso hawataki. Chadema hii mbinu sidhani Kama itasaidia .
Amka dogo kumekuchaVipi ikiwa Samia akiwa ndiye kawatuma , Kikwete , Kinana na Mtunga uongo wa kesi hiyo aliyeshirikiana na Magufuli na baadaye Samia kumweka selo Mbowe anayeitwa Diwani Athumani ILI KUMUANGUKIA MNYIKA ASHAWISHI CHADEMA IKUBALI MBOWE AACHIWE ?
Na je ikiwa Mnyika akiwaeleza hao akina kikwete na kundi lake msimamo wa Chadema kwamba Serikali ndio imuombe radhi Mbowe kwa kesi ya uongo na ya kutunga kishamba kabla ya kumuachia utakuwa tayari kuripoti pia ?
Punguani mkubwa.And then akitoka mtaona kama atabadilika. Atawatukana hadi mkome kadri anavyoelekezwa na mabwana wa nje. Chadema ni mpango wa ubeberu. Mission yao ni kuindoa ccm madarakani ili kuanzisha serikali itakayokidhi mahitaji ya ubeberu wa nchi za magharibi.
Acheni mbowe apambane na kesi yake ya ugaidi mahakamani. Kama ushahidi unatosheleza ahukumiwe. Vinginevyo mahakama itamwachia.
Muulize Hangaya anachohangaikia nini ?Kwani Mbowe akifungwa nin kitatokea?
Wana mtandao wamerudi kwa kasi,haya mambo yasingewezekana enzi za mwendazake, yaani badala ya kumuona mhusika wanaonwa wasiohusika!
Vipi ikiwa Samia akiwa ndiye kawatuma , Kikwete , Kinana na Mtunga uongo wa kesi hiyo aliyeshirikiana na Magufuli na baadaye Samia kumweka selo Mbowe anayeitwa Diwani Athumani ILI KUMUANGUKIA MNYIKA ASHAWISHI CHADEMA IKUBALI MBOWE AACHIWE ?
Na je ikiwa Mnyika akiwaeleza hao akina kikwete na kundi lake msimamo wa Chadema kwamba Serikali ndio imuombe radhi Mbowe kwa kesi ya uongo na ya kutunga kishamba kabla ya kumuachia utakuwa tayari kuripoti pia ?
MAMA Ni muhusika na huu umbambikiaji. Lazima mjue HAKUNA MWANADAMU ANAJUTA KWA KUONEWA KWA HIYO KUMUONEA MBOWE USITEGEMEE KUWA ATAJUTA. MSHAMFANYIA MABAYA MENGI TU KWA UONEZI HAJAJUTA MPAKA MKAMPA UGAIDI SASA. Unamtetea mama kwa lipi? Mbona Magufuli alimtoa babu seya mlipombambikia kesi na kumfunga?. Mama anahusika na ndiyo maana alijikanyaga alipojojiwa na bbc
Tuliza kishuzi hicho dada uzae salamaTatizo lako unafikrii kila mtu ni kschana kama ulivyo wewe
Mama alitoa hivyo vyote kama hisani au rushwa??! Na Mbowe anaonewa ili kuonesha makucha na mapembe ya mama? Usitutukanie mama yetu! Suala ni moja tu, kama anahusika ni kosa, kama hahusiki ajitabainishe!Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi
Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi
On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA?? Na Mdude akasema " nitamnyoa mama yenu kwa wembe uleule nilio mnyolea mtangulizi wake
Nini kikiwapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika
Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia
Wana mtandao wamerudi kwa kasi,haya mambo yasingewezekana enzi za mwendazake, yaani badala ya kumuona mhusika wanaonwa wasiohusika!
Na isipotenda?Sasa huko ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Cha msingi mahakama itende haki
Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani.
Haijaweza kufahamika kama jitihada hizo ni za Mnyika binafsi au zina baraka ya chama hicho, ambacho kwenye mitandao ya kijamii kimetanabaisha kuwa hakitaki suluhu yoyote kuhusiana na kesi hiyo.
Taarifa hizo zinaeleza kwamba kimsingi Mama Samia Suluhu aliridhia ombi la kuachiwa kwa Mheshimiwa Mbowe na ilitarajiwa aachiwe kwa “nolle prosequi” (tamko la nia ya kutoendelea na mashtaka) ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) lakini “yaliyojiri kabla, wakati na baada ya mkutano wa vyama vya siasa huko Dodoma” yalipelekea mpango huo kukwama.
Licha ya jitihada hizo za Mnyika, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman nae aliwasilisha maombi ya Chadema kwa Mama Samia, na akashauri Mheshimiwa Mbowe aachiwe bila masharti yoyote.
Uamuzi wa Chadema kususia mkutano huo wa vyama vya siasa huko Dodoma ambao ulifunguliwa na Mama Samia, inatajwa kuwa moja ya sababu zilizopelekea kukwama kwa mpango huo wa kumwachia Mheshimiwa Mbowe.
Taarifa hizi zinakinzana na kauli zinazoongewa na viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa “hawako tayari kuomba Mheshimiwa Mbowe aachiwe” kwa sababu wanaamini kuwa hana hatia na mashtaka dhidi yake ni ya kutungwa.
Yawezekana tofauti hizo kati ya “kinachoendelea faraghani” na “kinachoongelewa hadharani” zikawa ni mkakati wa Chadema hasa ikizingatiwa kuwa wafuasi wengi wa chama hicho hawaafiki kabisa wazo la kuomba Mheshimiwa Mbowe aachiwe. Moja ya sababu zinazochangia “msimamo huo mkali” ni shinikizo la “wanaharakati wa mtandaoni” ambao wanapinga vikali siasa za maridhiano kati ya chama tawala CCM na vyama vya upinzani.
Hata hivyo, suala hilo la kesi ya Mbowe “limevamiwa” pia na kundi moja ndani ya CCM linalompinga Mama Samia, na ambalo linaiona kesi hiyo dhidi ya Mheshimiwa Mbowe kuwa yenye manufaa kwa kundi hilo kwa sababu inatoa taswira mbaya kuhusu Mama Samia.
Nihitimishe kwa kutanabaisha kuwa haitokuwa jambo la kushangaza endapo Mheshimiwa Mnyika atakanusha taarifa hizi kwa sababu “zinaweza kumletea tabu” katika chama chake.
Jumanne njema
Chahali ni Team Kikwete , yuko kundi moja na Steve Nyerere , alikuwa ana ugomvi na Magufuli tu kama Mange
Wasipo omba msamaha inakuuma niniHaina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi
Ningetegemea Mbowe na Lissu watumie busara katika madai yao kwa kuwa wasikivu na wavumilivu pale Samia aliposema suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi
On the contrary Mbowe na Lissu wakaanza kumfokea Rais kama vile ni mbunge wa BAWACHA?? Na Mdude akasema " nitamnyoa mama yenu kwa wembe uleule nilio mnyolea mtangulizi wake
Nini kikiwapata hawa watu ambao kwa Mwendazake waliufyata miaka 5. Mwendazake kawapiga risasi, kavunja Bilicanas na kavunja na mashamba yake, kamchukulia na fedha kwenye akaunti. Hajawahi hata kulalamika
Samia kamrudishia akaunti, kesi zao za kubambika zikapigwa chini pamoja na ya MDUDE. Halafu wao ndiyo wa kwanza kusema HATUWEZI KUMBEMBELEZA Samia
Haina ubishi wanufaika wakubwa wa siku 100 za kwanza za Rais SSH ni CDM, Mbowe na Mdude kwa maelekezo, falsafa na haiba ya Samia. Mpaka tukaandika threads nyingi za kusema "Mama anaupiga mwingi