Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Hv unadhn mataga yana akili????
Acha dharau, ulipo sema makengeza Nikajua Nia yako moyoni ni ipi. Umejaa chuki kwa Mbowe hata ukiulizwa sababu huna. Unaleta misemo eti serikali in mkono mrefu, mbona huo mkono hauonekani kwenye Mambo ya ufisadi au mbona haukuonekana kwenye kesi ya Hamza alipowapiga risasi polisi. Kama mipango miovu kwa Mbowe serikali imefanya mpaka imechoka.

1. Kavunja bilcanass
2. Kuharibu shamba la Mbowe.
3. Kufurushwa nje kampuni yake kwenye Jengo la NHC, ambalo kimsingi lilikuwa la babaake.
4. Kufungiwa kwa gazeti lake.
5. Kuhukumiwa nje ya utaratibu was kisheria, Kama mahakama ya Kuu ilivyosema.
6. Kafungiwa akaunti zake zote za benki.
7. Kuibiwa pesa zake wakati akaunti imefungwa.
8. Kushambuliwa na wasiojulikana na kisha kumsingizia amelewa.
9. Kufunguliwa kesi ya ugaidi .
 
Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani.

Haijaweza kufahamika kama jitihada hizo ni za Mnyika binafsi au zina baraka ya chama hicho, ambacho kwenye mitandao ya kijamii kimetanabaisha kuwa hakitaki suluhu yoyote kuhusiana na kesi hiyo.

Taarifa hizo zinaeleza kwamba kimsingi Mama Samia Suluhu aliridhia ombi la kuachiwa kwa Mheshimiwa Mbowe na ilitarajiwa aachiwe kwa “nolle prosequi” (tamko la nia ya kutoendelea na mashtaka) ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) lakini “yaliyojiri kabla, wakati na baada ya mkutano wa vyama vya siasa huko Dodoma” yalipelekea mpango huo kukwama.

Licha ya jitihada hizo za Mnyika, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman nae aliwasilisha maombi ya Chadema kwa Mama Samia, na akashauri Mheshimiwa Mbowe aachiwe bila masharti yoyote.

Uamuzi wa Chadema kususia mkutano huo wa vyama vya siasa huko Dodoma ambao ulifunguliwa na Mama Samia, inatajwa kuwa moja ya sababu zilizopelekea kukwama kwa mpango huo wa kumwachia Mheshimiwa Mbowe.

Taarifa hizi zinakinzana na kauli zinazoongewa na viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa “hawako tayari kuomba Mheshimiwa Mbowe aachiwe” kwa sababu wanaamini kuwa hana hatia na mashtaka dhidi yake ni ya kutungwa.

Yawezekana tofauti hizo kati ya “kinachoendelea faraghani” na “kinachoongelewa hadharani” zikawa ni mkakati wa Chadema hasa ikizingatiwa kuwa wafuasi wengi wa chama hicho hawaafiki kabisa wazo la kuomba Mheshimiwa Mbowe aachiwe. Moja ya sababu zinazochangia “msimamo huo mkali” ni shinikizo la “wanaharakati wa mtandaoni” ambao wanapinga vikali siasa za maridhiano kati ya chama tawala CCM na vyama vya upinzani.

Hata hivyo, suala hilo la kesi ya Mbowe “limevamiwa” pia na kundi moja ndani ya CCM linalompinga Mama Samia, na ambalo linaiona kesi hiyo dhidi ya Mheshimiwa Mbowe kuwa yenye manufaa kwa kundi hilo kwa sababu inatoa taswira mbaya kuhusu Mama Samia.

Nihitimishe kwa kutanabaisha kuwa haitokuwa jambo la kushangaza endapo Mheshimiwa Mnyika atakanusha taarifa hizi kwa sababu “zinaweza kumletea tabu” katika chama chake.

Jumanne njema
Diwani Athumani na sio IGP ?
 
Wewe umesikia wapi???????

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣 🤣 🤣 Atoe hoja ya kipuuzi ya kusema anajenga uchumi kwanza ndiyo afikirie mambo ya katiba halafu watu wenye akili wakae kimya? Upeo wako ni mdogo sana. Yaani unadhani unafiki ni bora kuliko ukweli? .
Mimi Sina upeo ila wewe huna ubongo, nafuu na mende anakuzidi. Katiba unadhani itakuletea chakula mezani?

Haya macho_mdiliko Rais kishasema anajenga uchumi, sema fyoko tukuunganishe na Mbowe Ukonga
 
Kikwete alijuaga kula na kipofu na alikuwa anawaruhusu hata wapate wabunge hamsini majimboni mengine anawakata, aliruhusu uhuru tofauti na jiwe yeye aliiba Hadi ikawa ujinga serikali ikakosa hela nyingi kwa kutokuwa smart, ila na CDM nao waache ukaidi maana hata mbowe hakutumia busara tulitoka msibani tena mkubwa uliokuwa shock tulikuwa kwenye transition ngumu wao wakaanza harakati za katiba mpya, huku enzi za Magu waliufyata ikawa too much, Yani tumetoka msibani watu waanze kuandamana nchi nzima nchi isingetawalika kabisa, ndio maana akadakwa huyo kiulaini, all in all Kikwete alikuwaga mjanja bana siasa zilikuwaga Raha na ushindani kiasi ccm ilijitahidi kutumikia wananchi
Yaani huyo magu wapainzani angewaachia ATA viti50 vilivyobaki wakachukua hizi kerere zote za Katiba tusingezisikia, maana na wapainzani wangekuwa busy kwenye majimbo yao, kuhusu Mbowe serikali ilitumia mabavu, na Mbowe hakuna Sheria yeyote aliyofanya, Sasa hii Kesi imeikalia vibaya serikali, na SSH Hadi wanashindwa waiteme vipi
 
Kukutana na mkurugenzi wa usalama wa Taifa??? hii haijakaa vizuri and is very disturbing, wakae mbali sana na siasa za vyama hawa wataharibu nchi
 
Vipi ikiwa Samia akiwa ndiye kawatuma , Kikwete , Kinana na Mtunga uongo wa kesi hiyo aliyeshirikiana na Magufuli na baadaye Samia kumweka selo Mbowe anayeitwa Diwani Athumani ILI KUMUANGUKIA MNYIKA ASHAWISHI CHADEMA IKUBALI MBOWE AACHIWE ?

Na je ikiwa Mnyika akiwaeleza hao akina kikwete na kundi lake msimamo wa Chadema kwamba Serikali ndio imuombe radhi Mbowe kwa kesi ya uongo na ya kutunga kishamba kabla ya kumuachia utakuwa tayari kuripoti pia ?

Wewe dada uliyekosa malezi udogoni, Kuwa na nidhamu kwa Mh. Rais na Mkurugenzi mkuu wa TISS ndugu Diwani Athumani sio kila kitu ni cha kubwabwaja mitandaoni…
 
Chahali nilikuwa namwamini kweli. Kumbe naye ni sawa na kunguru anafuata mizoga?

Ni msenge mmoja anayependa pesa za wanaume, sijawahi kutana na mhaya mshamba kama yeye. Sasa hivi anakikomba sana kwa Mh. Samia ili alipwe tujisenti tudogo aendelee kutesa navyo scotland..
 
Mimi Sina upeo ila wewe huna ubongo, nafuu na mende anakuzidi. Katiba unadhani itakuletea chakula mezani?

Haya macho_mdiliko Rais kishasema anajenga uchumi, sema fyoko tukuunganishe na Mbowe Ukonga
Ubabe wa kizamani na kishamba sana huu. Mfuate Magufuli kama unaona ulimbukeni ni ujuaji.
 
Back
Top Bottom