Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Grece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake.
Wanachadema na watetezi wa haki za binadamu paazeni sauti zenu ili kujaribu kumpata Grace akiwa na afya yake.
Kazi hii ndio inawaweka mjini kina Tlaatlaah, Dr wa Manesi , Lucas Mwashambwa, ChoiceVariableGrece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake.
Wanachadema na watetezi wa haki za binadamu paazeni sauti zenu ili kujaribu kumpata Grace akiwa na afya yake.
Porojo.Grece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake.
Wanachadema na watetezi wa haki za binadamu paazeni sauti zenu ili kujaribu kumpata Grace akiwa na afya yake.
Kila Ubaya utalipwa
https://www.facebook.com/Porojo.
aliwekwa hotelini pale Nairobi karibia mwaka mzima na hapakua na ng'we ng'wee nonsense kama hizi.
hebu pelekeni porojo na drama zenu useless huko🐒
Kama una access na Sugu plz mtaarifu. Ni kiongozi mwenzake kwenye kanda.plzWamepanga kumuua
Yana nwishoGrece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake.
Wanachadema na watetezi wa haki za binadamu paazeni sauti zenu ili kujaribu kumpata Grace akiwa na afya yake.
Anayo taarifaKama una access na Sugu plz mtaarifu. Ni kiongozi mwenzake kwenye kanda.plz
Wala siyo mbaliYana nwisho
Pumbavu sana!Itakuwa ni ishu za wivu wa mapenzi, anatembea na mume wa mtu