Kiongozi vs muakilishi

Kiongozi vs muakilishi

Hehehe! Yuko sahihi kiaina, ni kweli mkiwa wapumbavu mtamchagua muakilishi mpumbavu mwenzenu japo aliyewazidi ujanja kiasi.
Na ndio tatizo kuu Afrika, hatuzingatii vigezo vya maana likija kwenye maamuzi ya kiuchaguzi, aidha tunazingatia uchama, ukanda, ukabila, udini n.k.
 
Back
Top Bottom