Kiongozi wa Afrika apatikana naye ni Olumba Olumba Obu

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,460
Reaction score
2,278
Kristo Aliyerudi Mtakatifu Olumba Olumba Obu kaja kulikomboa bara la Afrika na kubwa zaidi Dunia Nzima Amani na upendo ndio Nguzo ya udugu wa Msalaba na Nyota

Dunia tuna kila kitu ila Hatuna Upendo baina yetu viumbe yofauti ,dunia na Mazingira yanayotuzunguka Dhambi Vita Njaa Hasira walimwengu twashindana kumwaga Damu oooh Olumba kaleta Tujue nini Maana ya Upendo tuishi kwa Upendo

 
OOO
 

Attachments

  • Screenshot_20250619_055000_BCS Everlasting Gospel.jpg
    263.7 KB · Views: 23
Vifaa vya hukumu kuna majanga yanakuja subiria sio muda mrefu ni sekunde hilo unaloliona ni Sanduku la Agano
 

Attachments

  • FB_IMG_1750248274453.jpg
    32 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…