Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

Magonjwa mengine ukienda hospitalini huwa unapata dawa?
 
Kama ana ushahidi basi asiwe na wasiwasi. Lakini kama ni zile porojo za ufipa hiyo ni habari nyingine.
 
Nkuna ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Hamna mpaka kwenye hilo. Mipaka ipo kwenye matumizi ya vyombo vya uchunguzi na mamlaka ya RC.

Amandla...
Hakungekuwa na ulazima wakuwa na viongozi.
Nadhani hata pale ufipa wanamipaka yakuongea.
Pole kwa Uhuru usiojenga kwenye jamii
 
Huyo mkuu wa Mkoa wa shinyanga na Dodoma wallah kukikucha bila kutumbuliwa Basi wachawi.
Sera ya mama ni uwazi na ukweli, tuvute subira
 
Wanatumia masaburi.
Hawana element za kichumi nguvu bila akili hawa wanachezea hela za watanzania
 
Hakungekuwa na ulazima wakuwa na viongozi.
Nadhani hata pale ufipa wanamipaka yakuongea.
Pole kwa Uhuru usiojenga kwenye jamii
Mipaka inakuwepo kwenye taarifa za chama lakini sio za kijamii. Kumbuka madaktari wetu waliogopa kumwambia Mkuu wa Nchi kuwa chumba anachotaka kuingia ni cha wagonjwa wa Covid. Wao walitumia euphemism ya " wenye matatizo ya kupumua" mpaka alipowauliza kama wanamaanisha covid nao wakakubali. Hawa madaktari si wa kuwaamini hata kidogo. Wengine hatujasahau kuwa walijenga chumba cha kujifukizia Muhimbili.
Kwenye hili, Nkuna anaweza kuwa anasema ukweli kuliko hao waliopo hospitali.

Amandla...
 
Huyu dogo anatakiwa aozee huko huko
 
Mkuu wa mkoa ana mamlaka ya kumwita raia na kumuhoji?
 
"RCO wa Iringa anasema yeye hana tatizo lolote na Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Iringa ndugu Vitus Nkuna isipokuwa amepewa maelekezo amkamate Vitus then RCO wa Shinyanga atatuma gari la Polisi kutoka Shinyanga kwenda Iringa kumbeba Vitus na kumpeleka Shinyanga ili aweze kufikishwa Mahakamani." - Hilda Newton
 
Kwani kuna tatizo hapo? Si anapelekwa Mahakamani, means ana tuhuma za kujibu
 
Sijaona kosa lake hapo,ni kweli idadi ya wagonjwa ni kubwa sana,Shinyanga na Mwanza hakukamatiki ,na amefanya kama kuwakumbusha tu wafanye Jambo,ujinga wa kuficha tatizo ndio husababisha kukua kwa tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…