LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
 
View attachment 3160396
Yupo sahihi Kabisa, mmoja songwe wamemvunja miguu, na mwingine Iringa wamemtwanga risasi mpaka kufa 🤣🤣🤣
 
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
View attachment 3160396
Kuna mamia ya magari mapya yako barabarani kuelekea Dodoma leo na reg number PT 53..
 
Kuna mamia ya magari mapya yako barabarani kuelekea Dodoma leo na reg number PT 53..
Yes, tafuta mojawapo ya posts Zangu nilisema kuwa POLISI wamepewa rushwa ya magari na Serikali ya CCM na kuanzia Sasa hivi Mkuu wa kituo atakua anatumia V8 na Gari nyingine za kisasa, hata-share gari tena na OCCID
 
Ndio wakileta za akina SATIVA,mdude na soka way not usalama wa taifa letu ni zaidi ya ujuavyo

USSR
Zaburi 109
Lalamiko la mtu taabuni
(Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi)
1Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
2Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia,
wanasema uongo dhidi yangu.
3Wanasema maovu juu yangu,
na kunishambulia bila kisa.
4Ingawa niliwapenda, walinishtaki,
hata hivyo niliwaombea dua.
5Wananilipa uovu kwa wema wangu,
na chuki kwa mapendo yangu.
6Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu;
na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
7Anapohukumiwa apatikane na hatia;
lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
8 Siku za maisha yake ziwe chache,
mtu mwingine na achukue kazi yake!
9Watoto wake wawe yatima,
na mke wake awe mjane!
10Watoto wake watangetange na kuombaomba;
wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
11Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote;
na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
12Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma,
au Kuwatunza watoto wake yatima!
13Wazawa wake wote wafe;
jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
14Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake,
dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
15Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima;
lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
16Mwovu huyo hakujali kabisa kuwa na huruma,
ila aliwadhulumu maskini na fukara,
kadhalika na watu wanyonge mpaka kifo.
17Yeye alipenda kulaani watu,
laana na impate yeye mwenyewe.
Hakuwatakia wengine baraka,
basi, asipate baraka yeye mwenyewe.
18Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo,
basi, laana hizo zimloweshe kama maji,
zimwingie mifupani mwake kama mafuta.
19Laana zimfunike kama nguo,
zimzunguke daima kama ukanda.
20Mwenyezi-Mungu awalipe hayo hao watu wanaonishtaki,
naam hao wanaosema mabaya dhidi yangu.
21Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu,
unitendee kadiri ya hisani yako;
uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!
22Mimi ni maskini na fukara;
nimejeruhiwa mpaka moyoni mwangu.
23Natoweka kama kivuli cha jioni;
nimepeperushwa kama nzige.
24Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo;
nimebaki mifupa na ngozi.
25 Nimekuwa dhihaka tupu kwa watu;
wanionapo hutikisa vichwa vyao kwa dharau.
26Unisaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu;
uniokoe kadiri ya fadhili zako.
27Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo,
wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo.
28Waache walaani, lakini wewe unibariki;
wanaonishambulia waaibike, nami mtumishi wako nifurahi.
29Maadui zangu na wavishwe fedheha;
wajifunike aibu yao kama blanketi.
30Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti;
nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,
 
Ndio wakileta za akina SATIVA,mdude na soka way not usalama wa taifa letu ni zaidi ya ujuavyo

USSR
Kwani hii nchi ya ccm tu? Wananchi wenye itikadi tofauti nchi yao ni ipi? Watawaua wengine Sana kwa mtazamo wao huo! Ila Nina mashaka Sana na uraia wa viongozi wengine wa ccm huenda ni kati ya wale wakimbizi tuliowapa hifadhi wanataka nchi hii ichafuke ili ifanane na ya kwao! Waendelee kuivuruga amani iliyopo huenda watanzania wataamka kutoka usingizini!
 
A
Zaburi 109
Lalamiko la mtu taabuni

(Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi)
1Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
2Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia,
wanasema uongo dhidi yangu.
3Wanasema maovu juu yangu,
na kunishambulia bila kisa.
4Ingawa niliwapenda, walinishtaki,
hata hivyo niliwaombea dua.
5Wananilipa uovu kwa wema wangu,
na chuki kwa mapendo yangu.
6Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu;
na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
7Anapohukumiwa apatikane na hatia;
lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
8 Siku za maisha yake ziwe chache,
mtu mwingine na achukue kazi yake!
9Watoto wake wawe yatima,
na mke wake awe mjane!
10Watoto wake watangetange na kuombaomba;
wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
11Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote;
na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
12Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma,
au Kuwatunza watoto wake yatima!
13Wazawa wake wote wafe;
jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
14Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake,
dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
15Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima;
lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
16Mwovu huyo hakujali kabisa kuwa na huruma,
ila aliwadhulumu maskini na fukara,
kadhalika na watu wanyonge mpaka kifo.
17Yeye alipenda kulaani watu,
laana na impate yeye mwenyewe.
Hakuwatakia wengine baraka,
basi, asipate baraka yeye mwenyewe.
18Kwake kulaani ni kama kuvaa nguo,
basi, laana hizo zimloweshe kama maji,
zimwingie mifupani mwake kama mafuta.
19Laana zimfunike kama nguo,
zimzunguke daima kama ukanda.
20Mwenyezi-Mungu awalipe hayo hao watu wanaonishtaki,
naam hao wanaosema mabaya dhidi yangu.
21Lakini ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wangu,
unitendee kadiri ya hisani yako;
uniokoe, kwa sababu ya wema wa fadhili zako!
22Mimi ni maskini na fukara;
nimejeruhiwa mpaka moyoni mwangu.
23Natoweka kama kivuli cha jioni;
nimepeperushwa kama nzige.
24Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo;
nimebaki mifupa na ngozi.
25 Nimekuwa dhihaka tupu kwa watu;
wanionapo hutikisa vichwa vyao kwa dharau.
26Unisaidie, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu;
uniokoe kadiri ya fadhili zako.
27Waoneshe watu kuwa ndiwe uliyetenda hayo,
wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe uliyefanya hivyo.
28Waache walaani, lakini wewe unibariki;
wanaonishambulia waaibike, nami mtumishi wako nifurahi.
29Maadui zangu na wavishwe fedheha;
wajifunike aibu yao kama blanketi.
30Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti;
nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu,
Amen 🙏🙏
 
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
View attachment 3160396
Sijajua kwanini wahuni kama huyu wanaongea maneno ya kejeli hadharani na bado mnawapa space za kuendelea kuongea ujinga day after day. Kwanini msiwapoteze ?
 
Back
Top Bottom