ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Ni
Kinyume chake nimeshaona wengi wakiadhibiwa na Mungu na bado adhabu zinaendelea kuwafuata popote walipo 🙏🙏🙏
Na Bado 😳🙄🙏
Wapo Watu ambao kutokana na kiburi cha nguvu madaraka na pesa huwa wanadhani wanaweza kumfanyia ubaya mtu yeyote mahali popote bila wao kupata adhabu yeyote kutoka kwa Mungu !!Kwanini Ndugu yangu?
Kinyume chake nimeshaona wengi wakiadhibiwa na Mungu na bado adhabu zinaendelea kuwafuata popote walipo 🙏🙏🙏
Na Bado 😳🙄🙏