LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni
Kwanini Ndugu yangu?
Wapo Watu ambao kutokana na kiburi cha nguvu madaraka na pesa huwa wanadhani wanaweza kumfanyia ubaya mtu yeyote mahali popote bila wao kupata adhabu yeyote kutoka kwa Mungu !!

Kinyume chake nimeshaona wengi wakiadhibiwa na Mungu na bado adhabu zinaendelea kuwafuata popote walipo 🙏🙏🙏
Na Bado 😳🙄🙏
 
CCM mbona wanatunyanyasa na MUNGU anaangilia tu?
 
Mnyanyasaji yeyote mahali popote pale huwa hana amani moyoni mwake !
Na yeyote yule mwenye kukosa amani moyoni mwake huwa hana furaha !
Na yeyote yule mwenye kukosa furaha ya kweli huwa yumo kwenye lindi la mateso mpaka huwa anajiuliza ni kwanini alizaliwa !
Pesa Nguvu wala madaraka haviwezi kumletea mtu furaha !

Wenye kuwa navyo hivyo vitu wanajua nasema kweli maana vinawatokea !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ????!! 😱🤦🏽‍♂️
 
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
View attachment 3160396
Mbona dogo kaongea kistaarabu sana compared na wale mbugila wengine wa chama.
 
Mnyanyasaji yeyote mahali popote pale huwa hana amani moyoni mwake !
Na yeyote yule mwenye kukosa amani moyoni mwake huwa hana furaha !
Na yeyote yule mwenye kukosa furaha ya kweli huwa yumo kwenye lindi la mateso mpaka huwa anajiuliza ni kwanini alizaliwa !
Pesa Nguvu wala madaraka haviwezi kumletea mtu furaha !

Wenye kuwa navyo hivyo vitu wanajua nasema kweli maana vinawatokea !
Au nasema uongo ndugu zanguniii ????!! 😱🤦🏽‍♂️
CCM ni wajinga sn
 
Kuna mamia ya magari mapya yako barabarani kuelekea Dodoma leo na reg number PT 53..
GWM p series, za wakuu wa idara za Polisi mikoani, kila mkoa zinaenda 5, Kwa ajili ya uchaguzi sasa, na ujao maandalizi
 
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
View attachment 3160396
Wewe ni mtu wa ajabu sana. Yaani hapa kuna video clip na bado unadanganya! Kungekuwa hakuna video ungeandika uongo mara 1,000.

Acha hizi mambo mingi za kitoto. Mtu kaongea vizuri na kuwasihi wanaCCM kuheshimu mikutano ya wapinzani. Please acha.🙏🙏🙏
 
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
View attachment 3160396
Siasa za bongo, sasa hivi zipoteza maana. Watu wanashindana kupata madaraka kwa namna yoyote ile. Wamesahau lengo kuu la siasa ni nini.
 
Back
Top Bottom