Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma
Aukot alisema kuwa Kenya inapata fedha nyingi lakini nchi hiyo haina pesa kutokana na tamaa ya viongozi
Akizungumza katika kipindi cha Daybreak cha Citizen TV, alisema kuwa serikali inapaswa kutumia vyombo vya ulinzi kuwakamata wale wanaohusishwa na wizi wa fedha za umma.
"Sisi ni nchi tajiri sana. Kama tu serikali ingeweza kuwachukulia hatua wezi wa fedha za umma kwa kutumia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hatuhitaji USAID, hatuhitaji kuomba msaada," alieleza.
Kauli hii inakuja baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, kuwatuhumu Wabunge kwa kushindwa kutoa maelezo ya wapi zilipokwenda fedha za mamilioni zilizotengwa chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo la Serikali ya Kitaifa (NG-CDF).
Kauli hii ya Aukot inakuja katika kipindi ambacho kumekuwa na hofu juu ya uwezekano wa Wakenya takribani 40,000 kupoteza ajira zao kutokana na hati hati ya kufutwa kwa shirika la USAID
============================================================
Thirdway Alliance Party leader Ekuru Aukot has opined that Kenya can sufficiently function without help from the United States Agency for International Development (USAID) amid a looming mass job loss.
According to Aukot, Kenya has adequate cash flow but public coffers are being dried out by greedy political leaders.
Speaking on Citizen TV's Daybreak show, he argued that the government should use state security resources to nab those linked to looting public funds.
"We are a very rich country. If only the government of the day could punish thieves of public money using the Auditor General's report we do not need USAID, we do not need to beg for money," he noted on Thursday.
This follows a report by Auditor General Nancy Gathungu which put Members of Parliament on the spot for failing to account for millions of shillings allocated under the National Government Constituency Development Fund (NG-CDF).
The report for the year ending 2023 showed that 7 constituencies had not fully accounted for funds, citing significant discrepancies in the manner the funds were handled.
Source: Citizen Digital