Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea wakati wetu imebainika kupitia Sahih Hadithi "Jami at Tirmidhi 1596" alikuwa ana Watumwa wa kiafrika Tena akiwauza kwa mafungu kama ngogwe za kule kwetu Lushoto