Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Issue ni kuprove mahakamani kuwa alibakwaHii Nchi ya kipuuzi sana.angekuwa mala hoi angefungwa miaka30 lakini Kwa kuwa ni mkurugenzi ametenguliwa na kuendelea na maisha.Hii awamu inalea waharifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni kuprove mahakamani kuwa alibakwaHii Nchi ya kipuuzi sana.angekuwa mala hoi angefungwa miaka30 lakini Kwa kuwa ni mkurugenzi ametenguliwa na kuendelea na maisha.Hii awamu inalea waharifu
Huko shuleni inaonekana alishawatifua sana Wanafunzi wake na akapewa U DED kama zawad hii nchi Ina laanaNamfahamu huyu Mkurugenzi,kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi alikuwa Mwalimu mwenzetu Tanga huku,kazi kwelikweli
UnachekeshaKugwangala
Kunyatia ni njia haramu ndo nadhani alitumia.Mkurugenzi amewaaibisha CCM, yaani alishindwa hata kunyatia usiku? Housegirl ananyatiwa tu
exactly,kajamaa Fulani hivi kafupi fupi hivi hupenda kuvaa viatu mchomokoNamfahamu huyu Mkurugenzi,kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi alikuwa Mwalimu mwenzetu Tanga huku,kazi kwelikweli
Sababu ulizozihoji kwenye mapenzi hazipo.Kiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.
Yaani hata machangudoa Yapo ,Kiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.
Alishazoea kubaka kidato Chakwanza ,akina mwezi wakwanza na ummy ,chawa wao huyuNamfahamu huyu Mkurugenzi,kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi alikuwa Mwalimu mwenzetu Tanga huku,kazi kwelikweli
Kumbe, alishazoea kujilia vident huyoNamfahamu huyu Mkurugenzi,kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi alikuwa Mwalimu mwenzetu Tanga huku,kazi kwelikweli
Mkurugenzi amewaaibisha CCM, yaani alishindwa hata kunyatia usiku? Housegirl ananyatiwa tu
Mdudu genye hanaga masikhara akiamua.Ngunga ina nguvu sana ikipanda kichwani
Balaa linaanzia hapa, miaka 16 ni Mtoto hatakiwi kufanya kazi za Nyumbani km Mfanyakazi wa ndani, imekuaje?ambaye ana umri wa miaka 16.
CCM _Chama Cha MalayaMamako ndio malaya na we ni mwanaharamu
Ameshindwa hata kuimportKiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.