Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

Hii Nchi ya kipuuzi sana.angekuwa mala hoi angefungwa miaka30 lakini Kwa kuwa ni mkurugenzi ametenguliwa na kuendelea na maisha.Hii awamu inalea waharifu
Issue ni kuprove mahakamani kuwa alibakwa
 
Kiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.
 
Mkurugenzi amewaaibisha CCM, yaani alishindwa hata kunyatia usiku? Housegirl ananyatiwa tu
Kunyatia ni njia haramu ndo nadhani alitumia.

Alishindwaje kumshawishi kwa pesa?

Kinyago cha kuchonga mwenyewe kashindwa kukitumia!

Kumbe kwa mwanaume kutongoza mwanamke ni bonge la pingamizi katika maisha isee!

16 mbona ni msichana mkubwa wa kuweza kuolewa na anatongozeka vizuri tu?
 
Kiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.
Sababu ulizozihoji kwenye mapenzi hazipo.

Tungeongelea huyo huyo aliyemlenga yeye.

Kwa nini asingemhonga pakubwa kabla ya kuanza kumnyemelea kimya kimya kiwindaji?

'Kubaka' maana yake ni kutumia nguvu na taathira za wazi lazima zilijitokeza kwenye tukio hadi kupelekea kuvuma kama lilivyovuma.

Ameshindwa kutumia hela za madaraka kula na kipofu!
Yene yakwe!
 
Kiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.
Yaani hata machangudoa Yapo ,

Mashoga Yapo

Masekretary wake wapi

Yaaanii
 
Kiongozi unatembelea VX,una mshahara wa kutosha,posho za kumwaga,10% ndiyo usiseme unashindwa kujipatia pisi kali zinazokuzunguka ofisini kwako au hata barmaid hadi unaenda kubaka house girl! Au ndiyo mambo ya ulozi! Maana hata kama domo zege sio kihivyo.
Ameshindwa hata kuimport
Dem kutoka huko telegram au mitaa ya sinza na tbt huko malay
Kibao tu

Ova
 
Miaka ya hivi karibuni vyeo wanaewa watu washamba ,wajinga jinga tu

Ova
 
Back
Top Bottom